Recent content by yellowkid

  1. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga

    Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga. SIFA: 1. Ajue kuongea, kusoma na kuandika kikinga na KISWAHILI 2. Awe tayari kufanya kazi popote kwa muda wa miezi sita. 3. Umri kuanzia miaka 45-70 4. Awe amezaliwa, kuishi, na kusoma elimu ya msingi makete. MALIPO: Malipo ni maelewano: Atalipwa...
  2. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Nahitajika Mshirika tuchange naye BTTS mbili kianzio 10000 kila siku formula hii hapa

    Mkuu njoo PM kamalia konki niko. Lakn Kila mtu atie mkeka wake hakuna kuchanganya.
  3. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    LILIADE PHILIPO MBAGA (R.I.P)
  4. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Taja kikosi chako bora cha AFCON mpaka muda huu

    1. Ronwell Williams (SA) 2. Kipren Diatta (SEN) 3. Ole Aina (NIG) 4. Ekong (NIG) 5. Mbeba (DRC) 6. Haidarra (MAL) 7. Diakitte (CDV) 8. Mokoena(SA) 9. Osimhen (NIG) 10. Sinayoko (MAL) 11. Camara (MAL)
  5. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Wana Momba wakataa uzushi wa Mbunge wao

    Mbuge anatoa kero za maji Momba. Chawa anadanganya umma. Unahesabu miradi bubu ya kamsamba, Mpapa, na Mkonko? Hiv wew ni mwanamomba kweli?
  6. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Nawewe Fuga pumba muendane
  7. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

    Kwampalange
  8. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

    Kumbe. Nyie shemeji zetu akina "" Mwakinani" mnajua tu kupika matoke!!!! Imbombo nghafu
  9. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

    Wasiojulikana watakuwa wamemjua mtanganyika mwenzetu
  10. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ofisi ya Rais na Utawala Bora ongea na Maafisa Utumishi na Waziri wa Elimu, HESLB inatutesa watumishi wa Umma

    HESLB apewe DP world Kwa maslahi mapana ya Taifa
  11. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Africa Archives: Africans believe Magufuli was Assassinated

    Each soul will eat dust
  12. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapongeza(NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji

    Electronic marking inachukua nafasi ya Mwalimu. Inarahisisha kazi na kuua creativity kwenye Elimu yetu. Acha mwanangu aendelee kuchagulia hesabu kuelekea Uchumi wa kati
  13. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza uchunguzi dhidi ya Kalynda E-Commerce

    Vipi uchunguzi wa D9 uliishia wapi? Chunguzi chunguzi
  14. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Nakumbuka to tulikuwa tunachoma tanuru la tofari. RTD walipo tangaza basi waliokuwa wakubwa sana walipigwa na butwaa
  15. yellowkid

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu Mwigulu, kwanini tusianzie hapa?

    Haya mambo bwana. Mwigulu Hana tofauti yule alikuwa anatembea na bendera Kwa mikono +Ilani isiyotekelezeka kwenye Wazara ya mambo ya ndani. Nchi hii wakimaliza kulamba asali, watalamba mioyo yetu
Back
Top Bottom