Hata jakaya alisema hivyo, ona sasa alivyozifanyia kazi shida za wananchi, badala ya kuzipunguza kaziongeza. Ni kweli jakaya alijua shida za wananchi na alitaka kuziondoa ila system ya ccm aliyokuwa anajaribu kutolea hizo shida ilikuwa tayari corrupted naye akawa infected na ccm virus akashindwa...
Hata jakaya walisema alikuwa chaguo la mungu, ona sasa alipoipeleka nchi, wananchi wapo katika hali mbaya ya umaskini, kama hawa ndo viongozi ambao ni chaguo LA mungu then we should seek another source for choosing a leader
Ama kweli mfa maji haishiwi kutapatapa, hizi ni dalili za watu walio hopless n desperate.taratibu bila kelele piteni hv. We mwenyewe mbona una ukimwi na bado unafanya kazi
Yap nyie ni wa vitendo, ufisadi mmefanya Kwa vitendo, maisha ya watz magumu cha kushangaza baadhi ya matz hataki mabadiliko wanashikilia umaskini tu. Ila wakati wa mabadiliko ukifika hata magamba yasiyotaka kubadilika yatabadilishwa tu na mafuriko ya mabadiliko
Kwahiyo wote wanaoishabikia ccm wamejiandikisha na lazima watapiga kura. Ni kwamba uwezo wako wa kufikiri ni mgando sana au ndo effect ya sumu inayokuingia kwenye hilo gamba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.