We want our Dr. Slaa back, Lowassa anaenda kutuzamisha

Kansigo

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
2,670
Reaction score
2,156
Naongea kwa niaba ya mamia ya wafuasi wa UKAWA ambao tumekuwa tunafuatilia uwezo wa kisiasa wa Lowassa mgomea urais kupitia UKAWA.

Tumejiridhisha bila shaka yoyote kuwa uwezo wa kisiasa wa bwana Lowassa ni mdogo mno ukilinganisha na wa Dr. Slaa.

Mtakubaliana nasi kuwa Lowassa;
i: Hana nguvu ya ushawishi (argumentation and convincing power) hata wakati anapozungumza

ii: Uwezo wake wa kijieleza ni mdogo sana (yaani public speeching) na pia hana ufasaha wa maneno.

iii: Hana hoja nzito za kitaifa
ni ukweli usiopingika kwa kukosa sifa hizo tulizozitaja hapo juu, mvoto wa kisiasa wa bwana Lowassa utachuja ndani ya muda mfupi sana; na hivyo kutuzamisha katika nia yetu ya kuwakomboa watanzania.

Tunadhani ni muda muafaka wa kushinikiza uongozi wa UKAWA na hasa CHADEMA kumrudisha dr. Slaa alodhulumiwa nafasi yake apeperushe bendera yetu.

Tunarudia tena kwa Lowassa jahazi linazama!!
 
Mfuate pale ufuoni alikataa kupanda meli yetu ya mv mabadiliko,sie tuko bahari kuu tunakaribia ile pwani tuitamaniyo
 
Naongea kwa niaba ya mamia ya wafuasi wa ukawa ambao tumekuwa tunafuatilia uwezo wa kisiasa wa lowassa mgomea uraisi kupitia ukawa. Tumejiridhisha bila shaka yoyote kuwa uwezo wa kisiasa wa bwana lowassa ni mdogo mno ukilinganisha na wa dr slaa. Mtakubaliana nasi kuwa lowassa;
i: Hana nguvu ya ushawishi (argumentation and convincing power) hata wakati anapozungumza
ii: Uwezo wake wa kijieleza ni mdogo sana (yaani public speeching) na pia hana ufasaha wa maneno
iii: Hana hoja nzito za kitaifa
ni ukweli usiopingika kwa kukosa sifa hizo tulizozitaja hapo juu, mvoto wa kisiasa wa bwana lowassa utachuja ndani ya muda mfupi sana; na hivyo kutuzamisha katika nia yetu ya kuwakomboa watanzania:
Tunadhani nimuda muafaka wa kushinikiza uongozi wa ukawa na hasa chadema kumrudisha dr slaa alodhulumiwa nafasi yake apeperushe bendera yetu:
Tunarudia tena kwa lowassa jahazi linazama !!!!!!!

Kwa sasa kosa limeshatokea.Tunahitaji wabunge wengi zaidi,kama ikiwezekana hata 3/4 ya wa unge wote?Inabidi kwa sasa kuplan wayforward...
 
Sisi tunataka kuiondoa CCM kwanza. Na mwenye uwezo huo ni lowasa pekee. Suala la uwezo wa uwezo wa kuargue hata kikwete hana uwezo wa kupambana na slaa hata 2010 tulijionea. Lakini bado alishindwa na kikwete
 
Mkuu ni kweli kabisa uliyosema. Bila shaka CHADEMA/ UKAWA wata mtayarisha na kumnoa Lowassa pindi kampeni zikianza na hata ikibidi kumtayarishia mada za kuzungumza na namna ya kuzungumza.

Kwa kifupi umma wa Tanzania na wapiga kura wote ungalipenda kusikia mengi sana kutoka kwa Lowassa mwenyewe kama Lowassa. Haya ni masuala tata yanayohitaji kuelezwa kwa umakini na ufasaha mkubwa na yeye Lowassa mwenyewe.
 
Naongea kwa niaba ya mamia ya wafuasi wa ukawa ambao tumekuwa tunafuatilia uwezo wa kisiasa wa lowassa mgomea uraisi kupitia ukawa. Tumejiridhisha bila shaka yoyote kuwa uwezo wa kisiasa wa bwana lowassa ni mdogo mno ukilinganisha na wa dr slaa. Mtakubaliana nasi kuwa lowassa;
i: Hana nguvu ya ushawishi (argumentation and convincing power) hata wakati anapozungumza
ii: Uwezo wake wa kijieleza ni mdogo sana (yaani public speeching) na pia hana ufasaha wa maneno
iii: Hana hoja nzito za kitaifa
ni ukweli usiopingika kwa kukosa sifa hizo tulizozitaja hapo juu, mvoto wa kisiasa wa bwana lowassa utachuja ndani ya muda mfupi sana; na hivyo kutuzamisha katika nia yetu ya kuwakomboa watanzania:
Tunadhani nimuda muafaka wa kushinikiza uongozi wa ukawa na hasa chadema kumrudisha dr slaa alodhulumiwa nafasi yake apeperushe bendera yetu:
Tunarudia tena kwa lowassa jahazi linazama !!!!!!!

Hakuna mwana CHADEMA/UKAWA mwenye akili ya ajabu namna hii!
 
Maandamano ya leo yanakuabisha wewe na genge lako.

Actions speak louder than words
 
Slaa will be back for action, stay tuned. Na si mpenda Urais kama mnavojaribu kumpresha

Bw kasinge umenena ndugu, Slaa si mpenda Raisi na hana ulaghai, na zaidi ya hayo hali matapishi yake hata njaa ya aina yoyote ile. Aluta Continua
 
Naongea kwa niaba ya mamia ya wafuasi wa ukawa ambao tumekuwa tunafuatilia uwezo wa kisiasa wa lowassa mgomea uraisi kupitia ukawa. Tumejiridhisha bila shaka yoyote kuwa uwezo wa kisiasa wa bwana lowassa ni mdogo mno ukilinganisha na wa dr slaa. Mtakubaliana nasi kuwa lowassa;
i: Hana nguvu ya ushawishi (argumentation and convincing power) hata wakati anapozungumza
ii: Uwezo wake wa kijieleza ni mdogo sana (yaani public speeching) na pia hana ufasaha wa maneno
iii: Hana hoja nzito za kitaifa
ni ukweli usiopingika kwa kukosa sifa hizo tulizozitaja hapo juu, mvoto wa kisiasa wa bwana lowassa utachuja ndani ya muda mfupi sana; na hivyo kutuzamisha katika nia yetu ya kuwakomboa watanzania:
Tunadhani nimuda muafaka wa kushinikiza uongozi wa ukawa na hasa chadema kumrudisha dr slaa alodhulumiwa nafasi yake apeperushe bendera yetu:
Tunarudia tena kwa lowassa jahazi linazama !!!!!!!
Wazee wa kupenda hotuba! Nendeni youtube zipo hotuba kibao za Nyerere
 
Furaha ya CCM ni kuona upinzani unakufa sasa sijui unaongea kumaanisha nini.
Kama LOWASA atazamisha jahazi ndo furaha kwenu,isitoshe CCM mna waimba mashahiri wengi wazuri kwa kuongea lakini mmeshindwa kuondoa umasikini Tanzania.ni bora kuongozwa na watu wasiojua kuimba mashahiri kama UKAWA kwa vile wana dhamira ya dhati ya kuondoa umaskini.
 
Umemaliza mkuu. Tumechoka na wanaoitwa wazungumzaji, wenye ushawishi nk. Sasa ni wakati wa wasiojua kuvutia kwa maneno. Sio ma-handsome tena!! Badiliko lolote no la muhimu sasa. Tumechoka sana na maneno kasi mpya zaidi, nguvu mpya zaidi na ari mpya zaidi. Sijui Kigoma kuwa Dubai na reli ya kati kuwa ya umeme!! Sasa hatutaki kusikia chochote, tunataka matendo!!
 
Back
Top Bottom