Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

View attachment 278944

MGOMBEA nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anazijua shida zote za Watanzania hivyo, atasimama imara katika kuzitatua na kuweka wazi kwamba, kwa muda wa miaka 20 aliyokaa Serikalini hakuwahi kushindwa.

Shida ya kwanza ni Laptop kwa Walimu ambayo atahakikisha kila mwalimu awe primary au secondary lazima awe na Laptop.

Shida zingine zilishatatuliwa na Raisi kikwete na Maraisi wengine waliopita, yeye atakachokifanya ni

Kuendeleza tuu., yaani " Sitawaangusha hawa maraisi waliopita" Alisema Dr. J.P. Magufuri.

Dk. Magufuli aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, baada ya mapokezi yaliyofanyika kwa kurudisha fomu ya urais, huku akibainisha kuwa, atashirikiana na mgombea mwenza wake kuhakikisha wanatatua shida za Watanzania.

Unajisumbua kumnadi msubi mwenzio unafikiri utapata kazi ya kufagia ikulu?maana wanyangara hamna shule kazi yenu ni wachungaji wa ng'ombe washuuti
 
Zimekuwepo sababu kadhaa ambazo watu kadhaa wamejaribu
kuziweka hapa wakionyesha ndio chanzo cha watu kufurika
kuhudhuria uwepo wa Lowassa mahali fulani baada ya kutangaza
kujiunga na UKAWA/CHADEMA.
Ni kuwa kabla palikuwepo na kukata tamaa kwa kiwango kikubwa
kwa Watanzania kuelekea ndoto yao ya kuiondoa ccm katika
kutawala. Watanzania waliivumilia ccm kuwa inaweza kufanya
mabadiliko yake ya ndani ambayo yangeweza kuleta maisha bora
kwa Watanzania. Kusubiri kwa mabadiliko haya kumekuwa siku
zote hakufanyiki na sana sana kinachofanyika ni kuimarisha
mfumo ambao muda mrefu sana Watanzania waliisha ukinai. Mtu
anazaliwa katika mfumo huo unao mpatia umaskini hadi anazeeka
katika huo mfumo.Watanzania walifika mahali wakajiimanisha
kuwa sio rahisi kuiondoa ccm katika utaratibu huu wa kupiga kura.
Katika utaratibu huu wa amri na kanuni za Demokrasia za ccm
ambazo zimekaa kisanii. Kujua kuwa waliisha kata tamaa
Watanzania wengi wamekuwa hawaoni sababu hata ya kwenda
kupiga kura kwa muda mrefu sasa. Mfano ni mwaka 2010, walio
piga kura ni chini ya nusu ya waliokuwa wamejiandikisha.
Watanzania ni wapenda amani. Amani ya Watanzania ilikuwepo
hata kabla ya Uhuru. Mkoloni aliwakuta Watanganyika wakiwa na
amani kiasi cha kuwatia bakora huku wakiwa kimya. Hivyo
Watanganyika/Watanzania wanahitaji fulsa ili wafanye mabadiliko
ya amani na si rahisi wakalazimisha mabadiliko kwa kutumia
siraha hata uwe umewaonea kwa kiasi gani.
Mwaka 1995 wakati Mrema alipojitokeza Watanzania waliona ni
fulsa ya pekee ya kuiondoa ccm. Kwa namna ccm ilivyofanya
hakuna anayeelewa kilichitokea na kila mmoja alibaki na sababu
zake. Hata mwaka 2010 mambo yalikuwa hivyo hivyo.
Sasa ni kuwa ametokea Lowassa. Watanzania wanaona hii ni fulsa
nyingine ya kutimiza ndoto zao.
Kinacho waaminisha kuwa ndoto yao sasa inaenda kutimia ni:
1. Nyerere alisema atakaye yaleta mabadiliko ambayo Watanzania
watakuwa wanayataka atatoka ccm.
2. Watanzania wanaamini Lowassa atakuwa anajua siri ambazo
ccm huwa wanatumia kuvuka kizingiti cha kukataliwa na wapiga
kura lakini bado ikaonekana wameshinda. Watanzania wana imani
kuwa iko siri ya ushindi tofauti na kura zinazopigwa
3. Watanzania wengine hudhani huwa kuna kuzidiwa kifedha kitu
ambacho Wapinzani huwa hawana sasa wanatumaini hili Lowassa
atalitatua maana nyuma ameonyesha kuweza ktk harambee
kadhaa.
4. Mikakakati mingi ya kushinda aliyo nayo Lowassa.
Sasa ukichanganya na kiwango ambacho Cdm wamefikia, kiwango
ambacho CDM ilihamasisha watu kujiandikisha, Watanzania
wamepata shauku ya kuyaona mabadiliko.
Ndani ya shauku hii Watanzania huwezi kuwambia chochote.
Hakuna propaganda itakayobadili mwelekeo. Sasa mafuriko
hayajaonekana subiri Kampaini zianze.
Natabiri mwaka huu pia kutakuwepo na mafuriko ya wapiga kura
kujitokeza kwenye kupiga kura.
 
CCM hamna jipya! Porojo tu! Pumzikeni tumewachoka!
una sababu ya kimsingi ambayo wewe inakufanya useme imekuchosha ama ndio kufata mkumbo tu ndugu achana na tabia za ukawa utakua chizi MAGUFULI ndio jembe litakalotukomboa wananchi
 
MAGUFULI.
Kiongozi ambaye ameishi mazingira yote kiongozi ambaye ni mtoto wa mkulima,kiongozi ambaye asili yake hata kabila lake linasifika kwa uchapakazi,kiongozi ambaye anachukia uvivu,kiongozi ambaye dira yake ni kuona watu wanafanya kazi kwa ufasaha bila upendeleo
Hiyo pia ni sababu ambayo inamfanya aseme yeye anazitambua shida za watanzania hivyo basi naomba vijana wenzangu tumuunge mkono ili taifa letu lisonge mbele kwa mafanikio
CHAGUA CCM CHAGUA JOHN POMBE MAGUFULI
#HAPAKAZITU
 
Alinselema

alinselema alija, CCM, MAGUFULI ndio habari ya mjini. Wananchi mnayo kila sababu ya kumchagua ndugu Magufuli, msipoteze wala kuharibu kura zenu, aidha kwa kutopiga kura au kumpigia kura mtu mwingine. Mm ninamuamini magufuli kiongopzi mchapakazi, muadilifu na mwenye kuwajali watu wake
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hapakazitu]#hapakazitu [/URL]

well said. nimekuelewa saaaaaana yaani #hapakazitu
 
Unajisumbua kumnadi msubi mwenzio unafikiri utapata kazi ya kufagia ikulu?maana wanyangara hamna shule kazi yenu ni wachungaji wa ng'ombe washuuti
Haya ni maneno ya mkosaji, maana kiukweli mmeshakosa, yaani mmejifurugaa, mmepotea kwisha habari yenu, #hapakazitu MAGUFULI NDIYE RAIS WETU, TUNAMPENDA
 
alinselema alija, CCM, MAGUFULI ndio habari ya mjini. Wananchi mnayo kila sababu ya kumchagua ndugu Magufuli, msipoteze wala kuharibu kura zenu, aidha kwa kutopiga kura au kumpigia kura mtu mwingine. Mm ninamuamini magufuli kiongopzi mchapakazi, muadilifu na mwenye kuwajali watu wake

Wewe ukimuamini mushuti mwenzio hakuna shida,na mamilioni ya watanzania yana mwamini lowasa mtanzania mwenzao
 
Magufuli ikiwa atachaguliwa kuwa rais ni uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo. Magufuli ni mtu wa namna hiyo na ametuonyesha katika sekta ya ujenzi na hasa katika eneo la barabara. Moja ya masuala ambayo nayaona kama mafanikio makubwa ya serikali ya Kikwete ni ujenzi wa barabara, ukiniuliza, nitakwambia jambo hili ndilo Kikwete anapaswa kujivunia atakaporudi nyumbani kwake pale ‘Msoga’. Lakini aliyeleta mapinduzi hayo kiusimamizi ni Magufuli.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa “ikitolewa tenda ya ujenzi wa barabara nchini Tanzania na India halafu nchi zote zikakabidhi tenda hizo kwa watoto wa marais wa nchi, kule India walau barabara ya ‘kudanganyishia’ itajengwa lakini hapa Tanzania unaweza usione hata kokoto” (tafsiri yangu). Dhana hiyo ina maana kwamba huku kwetu wizi na kujijazia manoti ndivyo vitu vinavyoshamiri na kwa tafsiri ya Mwalimu “ilipasa Magufuli awe anaongoza kwa kuchukua noti za barabara na kuzijaza tumboni kwake”, jambo ambalo limekuwa nadra kutokea na kama liliwahi kuwepo ndiyo tutajua sasa wakati watu wataanza kutoa taarifa zake kwa sababu anataka kwenda Ikulu. Kwa uwezo huu wa kiusimamizi namuona Magufuli akisimamia miradi ya serikali kwa ustadi mkubwa hata kama siyo “waziri wa miradi”

Atwambie kwanza zile Nyumba alizo mhonga kimada wake kwa kisingizio kuwa ni mtumishi,
 
Walimu tunataka kupandishwa madaraja laptop na smartphone tunazo.
 
Magufuli ikiwa atachaguliwa kuwa rais ni uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo. Magufuli ni mtu wa namna hiyo na ametuonyesha katika sekta ya ujenzi na hasa katika eneo la barabara. Moja ya masuala ambayo nayaona kama mafanikio makubwa ya serikali ya Kikwete ni ujenzi wa barabara, ukiniuliza, nitakwambia jambo hili ndilo Kikwete anapaswa kujivunia atakaporudi nyumbani kwake pale ‘Msoga’. Lakini aliyeleta mapinduzi hayo kiusimamizi ni Magufuli.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa “ikitolewa tenda ya ujenzi wa barabara nchini Tanzania na India halafu nchi zote zikakabidhi tenda hizo kwa watoto wa marais wa nchi, kule India walau barabara ya ‘kudanganyishia’ itajengwa lakini hapa Tanzania unaweza usione hata kokoto” (tafsiri yangu). Dhana hiyo ina maana kwamba huku kwetu wizi na kujijazia manoti ndivyo vitu vinavyoshamiri na kwa tafsiri ya Mwalimu “ilipasa Magufuli awe anaongoza kwa kuchukua noti za barabara na kuzijaza tumboni kwake”, jambo ambalo limekuwa nadra kutokea na kama liliwahi kuwepo ndiyo tutajua sasa wakati watu wataanza kutoa taarifa zake kwa sababu anataka kwenda Ikulu. Kwa uwezo huu wa kiusimamizi namuona Magufuli akisimamia miradi ya serikali kwa ustadi mkubwa hata kama siyo “waziri wa miradi”

Atwambie ni sababu gani ilimsukuma kwenda kuinvest mabilioni kujenga Barbara ya rami samunge kusiko na umuhimu wa kujenga rami na kuwacha sehemu productive zenye mahitaji ya hiyo lami
 
Attachments

  • 1440220643905.jpg
    1440220643905.jpg
    10.1 KB · Views: 101
Magufuli ikiwa atachaguliwa kuwa rais ni uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo. Magufuli ni mtu wa namna hiyo na ametuonyesha katika sekta ya ujenzi na hasa katika eneo la barabara. Moja ya masuala ambayo nayaona kama mafanikio makubwa ya serikali ya Kikwete ni ujenzi wa barabara, ukiniuliza, nitakwambia jambo hili ndilo Kikwete anapaswa kujivunia atakaporudi nyumbani kwake pale ‘Msoga’. Lakini aliyeleta mapinduzi hayo kiusimamizi ni Magufuli.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa “ikitolewa tenda ya ujenzi wa barabara nchini Tanzania na India halafu nchi zote zikakabidhi tenda hizo kwa watoto wa marais wa nchi, kule India walau barabara ya ‘kudanganyishia’ itajengwa lakini hapa Tanzania unaweza usione hata kokoto” (tafsiri yangu). Dhana hiyo ina maana kwamba huku kwetu wizi na kujijazia manoti ndivyo vitu vinavyoshamiri na kwa tafsiri ya Mwalimu “ilipasa Magufuli awe anaongoza kwa kuchukua noti za barabara na kuzijaza tumboni kwake”, jambo ambalo limekuwa nadra kutokea na kama liliwahi kuwepo ndiyo tutajua sasa wakati watu wataanza kutoa taarifa zake kwa sababu anataka kwenda Ikulu. Kwa uwezo huu wa kiusimamizi namuona Magufuli akisimamia miradi ya serikali kwa ustadi mkubwa hata kama siyo “waziri wa miradi”

Atwambie alikuwa ana maana gani kununua kivuko kilicho kwisha tumika miaka kibao cha MV dsm
 
Nilikutana na mzungu mmoja katika maongezi akaniambia kwamba yeye hana dini,kijana aliyekuwa karibu na sisi akamwuliza kwa nini hana imani, yule mzungu akamjibu kwa swali kwa nini na wewe una dini?na mimi naomba niwajibu wanaouliza eti kwa nini tunaichukia ccm na wao watuambie sababu za kuishabikia ccm?
Je wao kwao shilingi haijashuka thamani?je wao mfumuko wa bei hauwahusu?labda wanijibu lakini yapo mengi sana ningewauliza.
 
Atwambie alikuwa ana maana gani kununua kivuko kilicho kwisha tumika miaka kibao cha MV dsm
"Mimi na mgombea mwenza wangu tuko imara na makini mbele na nyuma" by JPM
 
Hata jakaya alisema hivyo, ona sasa alivyozifanyia kazi shida za wananchi, badala ya kuzipunguza kaziongeza. Ni kweli jakaya alijua shida za wananchi na alitaka kuziondoa ila system ya ccm aliyokuwa anajaribu kutolea hizo shida ilikuwa tayari corrupted naye akawa infected na ccm virus akashindwa kuzifanyia kazi na huyuhuyu magufuli will use the same system kujaribu kuyaondoa matatizo yetu. NO THANK YOU, SYSTEM LAZIMAIBADILISHWE
 
Back
Top Bottom