Yellow card
Member
- Mar 7, 2015
- 40
- 7
A
Mawazo yako ni mazuri lakini kama ingekuwa busara ukaonyesha umu Jamii Forum masoko yako na jinsi mzigo unavyoingia sokoni. Ili mtu awe anakutafuta na kukuletea mzigo apo kwako kama ni soko la Buguruni, kariakoo shimoni, mabibo big brother, mbezi, tegeta, mawasiliano, Mbagala, kirumba, mwaloni, na sehemu ingineKwa wakulima na wafugaji wanaotafuta masoko kwa ajiri ya mazao yako, tuwasiliane whatsapp kwa hii number..0625578543