Recent content by yekini

  1. yekini

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtolea uvivu Alberto Msando, wamtaka awaombe radhi

    Itakua umetumwa wewe sio bure, itakuaje siku ukisikia Msando kawa Katibu Mkuu wa CCM?! njoo na hoja...
  2. yekini

    JamiiForums Tanzania Taxify: Maoni juu ya huduma zao

    Taxify ni nzuri ila nahis wangeweka mfumo was kulipia ka Uber na kulipia kwa card iwe optional, nadhan watu wanacomplain sana kuhusu ilo ata ukipitia reviews za app downloads utaliona ilo unless otherwise gharama ni nafuu, na kingine huwez mtrack dereva ilo nalo tatizo pia...
  3. yekini

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    TAARIFA YA AWALI: Wadau nimepata taarifa muda huu zinasema mbunge wa Songea mjini Mh. Leonidas Gama hatunaye tena.... UPDATE: JamiiForums imepata uthibitisho wa taarifa za kifo cha Mhe. Gama ambacho kinadaiwa kutokea muda wa Saa 6 kuelekea Saa 7 usiku wa kuamkia leo. Amefariki akiwa mbunge...
  4. yekini

    JamiiForums Tanzania Sioni kazi ya Jeshi la Zimamoto Tanzania halina faida naona wanalipwa bure

    We nawe great thinker???
  5. yekini

    JamiiForums Tanzania Most Influential Young African

    Ilibid awekwe mzee wa kazi hapo Paul Makonda... Ingekua hamna ubishi tuzo ingeenda kwake direct. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. yekini

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya kupambana na polisi kumsaidia Mnyika

    Ila naanza kukubali kauli ya baadhi ya wabunge wapimwe akili... yani huyu Mnyika kweli adabu sifuri:)
  7. yekini

    JamiiForums Tanzania Dr. Ramadhani K. Dau amlilia Alhajj Mzee Kitwana Kondo

    Dr Dau... Zawad sana na gifted kwa kweli, ameelezea vizur sana... Mwenyez amrehemu Meya wetu wa zamani Mr. KK
  8. yekini

    JamiiForums Tanzania CCM Inaleta Matumaini

    Inaitwa Corporate Social Responsibility hio... #Hapa Kazi Tu!
  9. yekini

    JamiiForums Tanzania CCM Inaleta Matumaini

    Azam Two
  10. yekini

    JamiiForums Tanzania CCM Inaleta Matumaini

    Chunga kauli kijana,
  11. yekini

    JamiiForums Tanzania CCM Inaleta Matumaini

    Kwenye ukweli lazima tuuseme....
  12. yekini

    JamiiForums Tanzania CCM Inaleta Matumaini

    Dadavua Mkuu! Kikubwa tunaangalia maendeleo ya nchi kwa ujumla sio mtu...
Back
Top Bottom