mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,448
- 992
Inasemwa adui yako mwangamize kabla hujaabgamia wewe
Unamzungumzia huyu Uchwara muoga wa bunge liveMagufuli ni zaidi ya umjuavyo atauwa vyama vya upinzani anachapa kazi hatari kabisa weka mbali mbali na nyumbu kabisa.
Miaka 55 Bado tunajenga Barabara zile zile korofi.Maendeleo ya Taifa yanatoka asilimia 100 kwenda asilimia Zero.Hakika CCM hoyeeeeeeeeeeeKidumu Chama Tawala...
Hongera kweli si utani maana miaka 55 tunaenda kinyume nyume tulikuwa km 100 tumerudi km0Hongereni ccm.![]()
Ndiyo linalofaaChunga kauli kijana,
Kazi gani hiyo anayoichapaMagufuli ni zaidi ya umjuavyo atauwa vyama vya upinzani anachapa kazi hatari kabisa weka mbali mbali na nyumbu kabisa.
Mpaka miaka 40 bado ni matumaini, ili kufikia maendeleo hiki chama kinahitaji miaka mia kuanzia sasaKwenye ukweli lazima tuuseme....
Kweli? ? Hebu zungurusha mikono tukuone. ...Hili neno CCM
msema ukweli ni mpenzi wa mungu yani nikisikia ccm huwa najisikia vibaya.
Hadi inafikia nawaza nikipata nafasi ya kuwaangamiza makada wa ccm sitoacha hata kizazi chao cha tatu hata nne.
Hizo huwa ni dalili za mimba changa, yaani mtu asikie neno ccm ajisikie vibaya, kivipi? Nenda haraka Clinic mkuu.Hili neno CCM
msema ukweli ni mpenzi wa mungu yani nikisikia ccm huwa najisikia vibaya.
Hadi inafikia nawaza nikipata nafasi ya kuwaangamiza makada wa ccm sitoacha hata kizazi chao cha tatu hata nne.
HuoChunga kauli kijana,
Huo ndio ukweli na kama hutaki shauri yakoChunga kauli kijana,