yekini
Senior Member
- Jan 11, 2015
- 144
- 91
Habari Comrades,
Nafatilia maadhimisho ya miaka 40 ya Chama cha Mapinduzi, kuna kitu kinajionesha wazi.
Kikubwa ni kukubalika kwao na Wananchi kwa ujumla maana ukumbi umeonekana mdogo kabisa hii inaonesha watu wanakubali juhudi zinazofanywa na serikali
Pongezi ziende kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi kwa kuongoza mkutano vizuri, na kufuata taratibu. Kubwa nlioligundua ni wanaCCM wote wamekua pamoja na hamna makundi kabisa, kweli Uadilifu ukisimamiwa unatekelekezeka.
Heshima iliyoje anayooneshwa Mh.Katibu Mkuu, nimeamini CCM mpya inakuja.
Hongereni CCM,
IM