Recent content by Yaya makelele

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _________________
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Aina kumi za wanaume ambao wake zao wanakerwa nao

    *Aina Kumi Za Waume Ambao Wake Zao Wanakereka Kuwa Nao* Kila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wanandoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za kimungu ambazo wanandoa hawawezi kuziepuka lakini kuna zile za kiuanadamua mbazo nyingi ni za kimakusudi...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ufafanuzi juu ya Islamic Banking

    faida sio riba
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Vodacom, Tigo, Airtel: Upi ni bora zaidi kwa vigezo hivi? Toa sababu

    Zantel intenet faster harama nafuu kuliko mitandao yote TZ,popote nchini unapatikana
  5. Y

    JamiiForums Tanzania TCR mnalijua hili? Baadhi ya sehemu mitandao ya simu hukatwa.

    wanajua sana ila ni sio kosa kifanya hivyo. Hii sio huko tu bali ni maeneo yote muhimu ambayo mawasiliano ya simu hayatakiwi kama bungeni nk.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna njia yoyote ya kusaidia kupata Mimba ya Watoto Mapacha?

    Unatakiwa pindi mnapomaliza tendo, wewe mwanamke ulalie tumbo lako muda wa dakika sitini(saa moja).
  7. Y

    JamiiForums Tanzania JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita 2015

    Kiufupi huwezi kwenda kabla ya kufanya mtihani
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Unaweza Kukisia Huyu Paka anapanda ngazi juu au anashuka ngazi kwa chini?

    Atapandaje ngazi wakati kashaona mtu juu!!!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania SMZ Kisima chia Chini Kwa chini Kipo mjini unguja....

    Kaskazini unguja
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Aliyosema mwl. Jk Nyerere yasipuuzwe

    wanakuwa wakali sana hawa wakiona kiongozi muislam anafuata dini yake hata kama kidogo. Wanasema tu mambo bila ya ushahidi wowote. Wajiangalie waweza kuwa ndio chanzo cha moto ao wenyewe.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania ving'amuzi vya TING;Viogopeni havifai.

    Tumieni Azam musijizili.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Tumieni Hesabu za Seti Katika Kutafuta Idadi ya Serikali (Katiba Mpya)

    Znz haitegemei chakula kutoka bara. Ni asilimia ndogo tu inoenda znz. Wenyewe hakiwatoshi, mtaanza kufikiria kuuza nje?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mikoa mitano inayoongoza kwa uchumi ni ipi hapa Tanzania?

    huo ni wakati ujao, angalia sasa
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Kikwazo Cha Kiimani (DINI) Kwenye Rasimu Ya KATIBA MPYA TANZANIA

    we ndo mchochezi unaanza, wenzako wanajadili kiustarabu wewe unakurupuka. Chunga usipotee.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Muungano kwenye Rasimu ya Katiba

    Serikali za washirika hazitafanya jambo lolote la kimataifa bila ya kushirikisha jamhuri za muungano, ikiwemo kukopa nje, kuwa na mashirikiano na nchi za nje.
Back
Top Bottom