Recent content by yassird200

  1. yassird200

    JamiiForums Tanzania Vijana tujiheshimu, tuheshimu nyumba za watu ukitaka uhuru kajenge kwako

    Upumbavu tu ndomaana mm sipangi kwenye vijumba huko mtaani. Nalipa Kodi na uhuru wakuleta yeyote naemtaka
  2. yassird200

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Lkn mkuu bado inarudi mtaani baada ya kuhonga
  3. yassird200

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Baba yangu anaitwa Gervas Kalilo. Alikuwa anaishi Kahama Mtaa wa Uhindini miaka ya 1990

    Mkuu pole sana ila sio vzr kumtafta mda kama huu sasahiv tunakataa ndugu Niko katoro
  4. yassird200

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, unapenda sex ya namna gani?

    Mimi napenda fujo
  5. yassird200

    JamiiForums Tanzania Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

    Hehehe kama Kuna mshangazi humu huohuo mm Sina mambo mengi.
  6. yassird200

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

    Nibahati tu huyu mumama yeye anasolar huku katoro
  7. yassird200

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

    Mimi naona serikali ni katili kwa maskini
  8. yassird200

    JamiiForums Tanzania Milioni 3 za mazishi yako zitapatikana haraka kuliko laki 3 za matibabu yako

    Hii post wasiione vijana wapambanaji wataendelea kuchoka
  9. yassird200

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

    Angalau nijiskie vizuri nahitaji mwanamke aliyenizidi kuanzia miaka9 na kuendelea lkn hawa wengine hata shobo nao Sina.Nahitaji mtaalam sijui
  10. yassird200

    JamiiForums Tanzania Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

    Ikiwa hujalazimishwa kumtoa mtu out hata kama nimwanamke anapaswa kulipia gharama zote
  11. yassird200

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tujuane mapema tunashangilia Timu gani 7 tu za Taifa kuelekea FIFA WORLD CUP inayoanza hivi karibuni

    Mbn kama unatulazimisha kwa kigezo Cha watu wanaojua mpira,.kila mtu anahaki ya kuchagua kitu kwa mapenzi yake mrn mm ni Germany, France, Senegal, Brazil,na simbahehehe
  12. yassird200

    JamiiForums Tanzania Yawezekana JamiiForums Ndilo Jukwaa Lenye watu Wajuaji Zaidi Tanzania

    Huu Uzi wako haunamaana ila nao tumetia neno
Back
Top Bottom