Recent content by yasin20

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

    duh hii kiboko mwaka gani hiyo mkuu
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

    kama ni upungufu anapata vp uchezaji bora wa dunia mara4?hao wazima mbona wameshindwa kufika alipo yeye akiwamo ronaldo na kama historia zisingekuwepo pele au maradona tusingewazumzia kama ni magwiji katika soka zote historia ila bado zinaiishi na ndo maana kuna kitu kinatwa record
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

    Huo mguu mmoja ndo uliompa uchezaji bora wa dunia mara4 Na ndio huo unomnyima ronaldo usingizi
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    Tusimsifie tu kwamba amebarikiwa inabidi tuangalie kipi chanzo kwanini kitu ambacho si cha kawaida kwake kinawezekana? Kwa umri wa miaka3 ni mdogo sana inashangaza
  5. Y

    JamiiForums Tanzania who's Tanzania's Most famous Celebrity?

    Mbwana samatta. Juma nature na diamònd
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Hafikishwi kileleni afanyeje?

    Jitahidi kuupanda huo mti ipo siku utafika tu huko kileleni
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

    uzuri wa dinho alikuwa ana udundi sio mbwembwe kama unavyoziita unaleta ladha kumtazama pia alikuwa anasaidia timu yake kumbuka aliipa barca mataji ya kutosha na yy mwenyewe kawa mchezaji bora wa dunia mara2 Halafu akatajwa tena ndio mchezaji bora wa muongo mmoja una chakupinga kuhusu dinho?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Wanamuita 'Sukari ya warembo' (Diamond), Jionee picha zake za kitambo

    Duh kweli maisha hayatabiriki
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ndio naingia Dar es Salaam kwa mara ya kwanza

    Mkuu unajinyonga na huo mkanda unechoka kuishi au ndo huelewi kazi ya huo mkanda
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Napenda sana bustani yenye msitu mnene wewe Je?

    Ov ukoka unaopatikana white house ya marekani mkuu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Napenda sana bustani yenye msitu mnene wewe Je?

    Duh ama kweli we mnyama wa mwituni starehe zako zote ni porini tu.teh teh teh
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Garage party: Wanawake siku hizi wanataka hardcore, rough, hassling, craziness

    Jamani hii swanglish inatutesa wengine humu jamvini tunatamani kuchangia ila lugha inayotumika inakimbiza wachangiaji
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio alichonijibu mdogo wangu

    Mkuu mbona dogo hajaficha kitu hapo inavyoonekana hapo dogo wako ana ufundi kidogo wa kutumia mlango wa uwani
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

    muulize mleta uzi
Back
Top Bottom