Ndio naingia Dar es Salaam kwa mara ya kwanza

Ndio naingia Dar es Salaam kwa mara ya kwanza

Kwa jinsi alivyofunga mkanda, Jamaa anaweza kujinyonga endapo ajali itatokea
 
wacha kufanya watu wajinga!!mazingira ya hapo nje inaonyesha ni porini sana.hahahah
 
Mkuu unajinyonga na huo mkanda unechoka kuishi au ndo huelewi kazi ya huo mkanda
 
Kaniambia tu funga mkanda, nimepanda teksi kebu
hahahhhhhhhhh hii Kali! Bujibuji huwa unafurahisha sana. Kijijini uliwaacha salama?? Bora umeuona mji maana huu mkanda ungeweza kukutoa uhai kabla ya kuuona mji!
 
1503927_783469365041427_7015233265936976154_n.jpg

alipashwa kusaidiwa ila jamaa anatakakuuza tu wasap..
 
Huyu ikitokea ajali hapo utamnyonga huo mkanda
 
Bujibuji sio tu ndio unaingia Dar kwa mara ya kwanza lakini nahisi hata "kufunga mkanda" ndio mara yako ya kwanza! Ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom