who's Tanzania's Most famous Celebrity?

MASAPILA IN ACTION DIE HARD HANA MFANO. YUKO KATIKA CHATI
ANATAJWA NA KILA CHOMBO CHA HABARI
ANATAJWA KARIBU KILA SEKUNDE NA WATU WA MATABAKA MBALIMBALI
SERA ZAKE HATA SERIKALI IMESALIMU AMRI
HATA KANIZA KA KKKKKKKKTTTTTT LIMEMRUDISHA ULINGONI
babu babau hana mpinzania tanzania
 
It must be Kikwete, nipo kijijini sana na watu wanamtambua jakaya. Hakuna umeme, tv, wala redio. Rais ndo mtu maarufu zaidi akifuatiwa na waziri mkuu. NA WAPIGWE TU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom