Recent content by Yaptz

  1. Y

    Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili!

    CV ya Mayrose Kavura Majinge: ana Masters ya Public administration; an exposure kubwa kwenye mambo ya uongozi; CURRICULUM VITAE PERSONAL PARTICULARS Name: Mayrose Kavura Majinge Sex: Female Marital Status...
  2. Y

    Zitto Kabwe kuunguruma tena jijini Mwanza

    Wafungaji wazuri wa magori kwenye mpira wa miguu ni watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi ni wakati gani wa kupiga mpira na kupata gori, au kutoa pasi kwa mwingine au kurudisha nyuma kuanza mashambulizi upya au kutoa nje/kona kuepusha hatari gorini kwako na hata mara nyingine kujeza rafu...
  3. Y

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    Wasiasa wengi Tz ni kama wanywaji wa Pombe (and/or) watumiaji vilevya; Kuna wale wanaokunywa pombe kiasi wakastarehe safi bila shida na mtu, kuna wale wanakunywa wakalewa lakini pia hawana shida na mtu starehe kwa kwenda mbele. Sasa shida inakuja kwa wale ambao kabla ya kunywa ni watu...
  4. Y

    Mchango wa Rais Mkapa katika Mwalimu Nyerere Foundation

    I wonder....kama kweli walikuwa karibu kiasi hiko
  5. Y

    Mafuriko ya Dar- Kitalaam Mvua ilinyesha kwa kiwango gani....????

    Wakuu naomba msaada wa kujua kitaalam mvua dar zilizosababisha mafuriko zilinyesha kwa kiwango gani.... nimetazama kwenye website ya TMA hakuna hizi data
  6. Y

    Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    Syria kuna police na jeshi lilofuvu.......
  7. Y

    J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

    Tupe habari zaidi; Leo amepewa dhamana na kutoka.....????
  8. Y

    Hivi Michuzi anaishi Tanzania?

    Tatizo lake ni pale anapoweka picha za Vyama vya kisiasa; Kwa CCM anapamba sana na kuweka nzuri nzuri tu; kwa Upinzania nzuri ni kidogo sana, zaidi ni zile labda wapinzani wanapata kibano na mbaya mbaya tu etc. nadhani hata kama taarifa zinatoka kwa wahusika sitaki kuaamini kwa upande wa...
  9. Y

    Baraza la Usalama la Taifa

    Lipo na linafanya kazi; Mara ya Mwisho tulisikia tamko la Baraza la Usalama wakati ile Meli ilizama Zanzibar (Is slander).... Tamko lilisomwa na Katibu Mkuu kiongozi..... kwa Hiyo kwa haraka haraka wajumbe watakuwa wafuatao 1. Rais..... 2.Katibu mkuu kiongozi... 3...
  10. Y

    Kardinali Pengo: Watawala siyo miungu; Maandamano hayana tatizo so far..

    Nadhani Dr Slaa kasema vyema; Kubishana na mtu hasiye na upeo ni kupoteza muda wako. Kuna wachache wanadhani kwa kubisha tu bila hoja inaweza kuwasaidia watu wanaowapenda wao. Kwa kweli ni jambo linalo udhi kuona watu wanachezea viongozi wa Dini kama Kadrnali Pengo, hata kama wewe ni wa dini...
  11. Y

    Changamoto kwa Chadema

    Changamoto za maana zitachukuliwa na kufanyiwa kazi.... za kidini pelekeni kwenye vyama vyenu... Mtoa mada anaonekana kwa upande mmoja kama ana nia njema ya kuwapa changamoto Chadema, kwa upande wa pili ana chuki kubwa na Chadema na kwa upande wa tatu ana chuki kubwa na wakatoliki....... Huo ni...
  12. Y

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Kiongozi.. hii hoyuba imekwishasomwa au itasomwa jioni ya leo..???
  13. Y

    Nawashtaki Grace Kiwhelu, Lucy Owenya, Mary Chitanda na Mwanasheria Mkuu

    Sio wazo baya na pia mimi si mwanasheria lakini; CCM walitumia udhaifu wa sheria kumpeleka Marry Arusha; Kwa tafsiri ya Mwanasheria Mkuu Chadema pia watumia udhaifu huo huo; Ningekuwa mimi nadhani kwanza ninge mshitaki Mwanasheria Mkuu kwa Kesi ya Kikatiba kwa kutaka Marekebisho...
Back
Top Bottom