Baraza la Usalama la Taifa

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko sasa kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:

1. Je limeundwa lini?

2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?

3. Je Zanzibar wamo au hawamo?

4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?

5. wanakutana mara ngapi?

6. mwenyekiti wao ni nani?

7. Katibu wao ni nani?

8. Wanaripoti kwa nani?

9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?

10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?

11. je website yao ni ipi?
 
Lipo na linafanya kazi; Mara ya Mwisho tulisikia tamko la Baraza la Usalama wakati ile Meli ilizama Zanzibar (Is slander).... Tamko lilisomwa na Katibu Mkuu kiongozi..... kwa Hiyo kwa haraka haraka wajumbe watakuwa wafuatao
1. Rais.....
2.Katibu mkuu kiongozi...
3....................
4.....................
 
thread is too hot for JF

Invisible kaamua kuificha huku

we dare talk openly?

huku kweli nani atakuja kuchangia ?
 
hapo tv yangu inakamata chenga tupu, tume nyingi zimeundwa na ripoti nyingi zimeandikwa lakini zimebakia kuwa siri ya waziri wa mambo ya ndani.
 
mwenyekiti wa baraza-Rais
katibu-katibu mkuu kiongozi
wajumbe- mkuu wa majeshi, IGP,Mkuu wa magereza, Mkurugenzi wa TISS, Waziri wa ulinzi, waziri wa mabo ya ndani n.k
 
Kama sijakosea Nakumbuka hili councel ilizumziwa sana bungeni kama miaka mitatu hivi ulikuja kama msuada nakumbuka Dr. Slaa aliuchambua vilivyo kwani ulikuwa na mapungufu kibao serekal ikauchomoa.
 
mwenyekiti wa baraza-Rais
katibu-katibu mkuu kiongozi
wajumbe- mkuu wa majeshi, IGP,Mkuu wa magereza, Mkurugenzi wa TISS, Waziri wa ulinzi, waziri wa mabo ya ndani n.k

...nitoe mwongozo ktk masuala haya ya kiintelenjensia:
1. Baraza la Usalama wa Taifa (National Security Council) ni chombo kilichoundwa na Bunge mwaka jana (2010) kwa sheria kamili.

2. Wajumbe
. Rais wa Tanzania (Chairman)
. Makamu wa Rais wa Tanzania
. Rais wa Zanzibar
.Katibu Mkuu kiongozi wa Zanzibar (...kwa sasa ni Makamu wa Rais wote wale wawili wa Zanzibar)
.Waziri Mkuu wa Tanzania (Secretary)

Ni chombo maalumu cha JUU KABISA cha kushugulikia jambo lolote linalohatarisha au linalotaka kuharibu Usalama kwa RAIA WA TANZANIA

Baraza huketi kwa wakati uliomuliwa na linaweza kumwita na kumshirikisha/kuwashirikisha VIONGOZI wengine wowote kulingana na suala ambalo linajadiliwa pale, hiyo ndiyo tutakuwa tumesema kwamba, chombo hiki ni cha Kitaifa kwa sababu wanaokaa pale ni wale Viongozi wa Kitaifa.
 
thread is too hot for JF

Invisible kaamua kuificha huku

we dare talk openly?

huku kweli nani atakuja kuchangia ?

Mpwa tafadhali sana kama unayo naiomba kwenye PM kama ulivyonitumia ile ya Uchunguzi binafsi, nakukubali sana Mpwa. Tafdhali ntaisubiria kwa hamu sana
 
Hapa wapi tena mbona naona watu wana speak in new tongues! Samahani kwakukosea mlango nilikuwa natafuta mlango wa jukwaa la siasa...
 
Lipo na linafanya kazi; Mara ya Mwisho tulisikia tamko la Baraza la Usalama wakati ile Meli ilizama Zanzibar (Is slander).... Tamko lilisomwa na Katibu Mkuu kiongozi..... kwa Hiyo kwa haraka haraka wajumbe watakuwa wafuatao
1. Rais.....
2.Katibu mkuu kiongozi...
3....................
4.....................

3 - Mimi
 
Kutokana na ripoti ya Mwakyembe ilivyokuweka juu, nasubiri hiyo nyeti najua huwa haubahatishi.
 
achana na petty politics za personalities

this thing is bigger than Mwakyembe na hao akina slaa
Ngoja niendelee ku-refresh kompyuta yangu na kujiandaa ku-savefasta kambla haija chomolewa lazima kuna kitu kinatisha....
 
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko sasa kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:

1. Je limeundwa lini?

2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?

3. Je Zanzibar wamo au hawamo?

4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?

5. wanakutana mara ngapi?

6. mwenyekiti wao ni nani?

7. Katibu wao ni nani?

8. Wanaripoti kwa nani?

9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?

10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?

11. je website yao ni ipi?
Wakuu huyu si Jason Bourne mliye mzoea huyu ni Jasonbourne! ametumwa kuvuruga wasomaji kwa kumwaga upupu! Kwanini mods wanaruhusu tofauti ya space kama ID mpya? Rekebisheni haraka ID ziwe na tofauti ya wazi!
 
Back
Top Bottom