Kaka kwani wewe ndio unaweka roho usiwe na maamuzi yasiyo kuwa na tija kama umeshikwa na wasiwasi na jamaa na kidini ni dhambi kuwa na dhana basi hama tu hapo ili ukaye na amani na uwache kuwa na maamuzi ya kishetani ya kutoa watu roho
Maoni kwa Rais wangu mpendwa tuhurumie sisi viumbe wa mwenyezi mungu ambao hutajakamilika kwa lolote lile ukiwa pamoja na wewe pia ila mungu amekuteuwa uwe msimamizi wetu na kutuongoza kwa Amani na upendo mungu akupe uwezo mkubwa wa kuweza kugundua yule binaadamu ambaye hapendi Amani tuliyokuwa...
Inteligensia yetu ya Tanzania naomba ifanye kazi bila kukurupuka pamoja na usalama wa raia pia wafanye kazi zao kwa umakini sana hawa tuko nao masaa 24 wanatujua sisi watanzania vizuri ila tunaomba chuki binafsi na kazi uliyoapa usichanganye pamoja na tamaa ya duniani kwa uwezo wake mola...
Hivi Tanzania nani aliwaroga maana enzi za mwalimu watu walikuwa wamoja leo hii nasikia mambo mageni sana humu hadi kauli zisizo jenga zimo humu tuweni makini tuendako hatupajui maana mwenyezi mungu ndio anajua hamna mtu ana huwakika baada ya masaa mawili nini itatokea kwahiyo ombi langu kwa...
Ushauri wangu mi nadhani hawa FFU maana yake fanya fujo uone hawa jamaa wanatakiwa kubaki kwenye camp kama wakenya wale GSU sio kulinda bank na kuonekana mtaani siku unaleta fujo zako ndio wanaitwa wewe mwenyewe ukiwaona tu na Alama yao nyekundu unakimbia hiyo ni moja pili Sasa hivi tunavija...
Kaka uko sawa kabisa na point yako Du! Hii ni Africa bana anafaa ajue kuwa na mipaka ya kushauri vitu vyenye busara na tija ya waafrica sio kila kitu tuige
Lakini ningeshauri pasi za muda tungejaza online hata kama boader yoyote unapata mfano halisi mkenya anapata pasi ya mwaka ndani ya dakika 15 kwa kshs 350 tu na anaendelea na safari kwakweli Rais wetu anagalia hili swala pia ni la wanyonge wanateseka kwa dharura inapotokea
Wazungu wajichunguze kwanza wao kabla ya kuchunguza wengine fitna yao ni mbaya sana wameshamaliza nchi ilikuwa na Amani na watu wake walikuwa wanalipwa mshahara hata kama ufanyi kazi LIBYA.
Leo hii wanakuja Tanzania Yarabi tunapenda amani watanzania kuweni makini mtakuwa wakimbizi wao hao ni...
Hivi jamani kuhusu hizi pasiport zetu za muda kuandikwa SINGLE JOURNEY mkuu wa nchi anataarifa kuwa ni kero kwa madereva wanaoenda kila siku nje ya nchi kama pasi kubwa zimeisha.Ningemuomba kwa heshima kubwa arudishe tu ONE YEAR kama zamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.