Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,894
kwa sababu passport yako umepata mwaka 2018..or ndo mpango WA kurenewKwanini?
kwa sababu passport yako umepata mwaka 2018..or ndo mpango WA kurenewKwanini?
Walikua wananipa kalenda tu bado ndo inafanyiwa mchakato kila ukienda wanakupa viswahili nikaamua kuwaacha tu sasa sijajua kama wataniambia niomgeze hela au lah na mim niliombea mkoani walipoona zinachelewa wakaniambia nifatilie mwanyewe huku huku nikawa nafatilia lakini hadi leo badoKama haijatoka utaongeza 100,000 upewe mpya. Kaulize kama imetoka au bado na kwanini?
Duh pole sana.Walikua wananipa kalenda tu bado ndo inafanyiwa mchakato kila ukienda wanakupa viswahili nikaamua kuwaacha tu sasa sijajua kama wataniambia niomgeze hela au lah na mim niliombea mkoani walipoona zinachelewa wakaniambia nifatilie mwanyewe huku huku nikawa nafatilia lakini hadi leo bado
anhaa mkongweYa tatu hii. Unaikumbuka ile ambacho inabandikwa picha ? Nilikuwa nayo.
ikija technology ya microchip,hata hizi electronic passport tutaziona za kizamani kweli..Nimekula chumvi ya kutosha.
Unasafiri WAP vile? Nauliza tuuUna bahati, niliyopata ya kijani imeandikwa inaisha 2028 lakini ikifika 2020 haitumiki lazima nibadili.
Mkuu kama unaweza na unacho kitambulicho cha NIDA wape na hiyo ongeza mpunga unapata hiyo Mpya... msongamano wa 2020 na uchaguzi utaambiwa karatasi zimeisha akili zipo kwenye karatasi za Uchaguzi hiyo uliyochukua ni kama ile ya karatasi za kwenda East Africa ila ni kitabu....Niliwahi ku apply
Idara ya uhamiaji hamna service standards miezi miwili sawa, miezi sita poa .Kwa hiyo nikiwa na 150k na kitambulisho cha taifa napata passport mpya? Inachukua muda gani?
leo ndio nimegundua kuwa huwa nakosea kwenye uandishi wajina lako "" Siku zote nilikuwa naona kuwa inasomeka PRONDO ..kumbe ni RRONDO ..MAAJABU HAYAWatu wanakosea kuandika RRONDO wanaandika PRONDO na mimi huwa siwasahihishi.
Wleo ndio nimegundua kuwa huwa nakosea kwenye uandishi wajina lako "" Siku zote nilikuwa naona kuwa inasomeka PRONDO ..kumbe ni RRONDO ..MAAJABU HAYA
leo ndio nimegundua kuwa huwa nakosea kwenye uandishi wajina lako "" Siku zote nilikuwa naona kuwa inasomeka PRONDO ..kumbe ni RRONDO ..MAAJABU HAYA
leo ndio nimegundua kuwa huwa nakosea kwenye uandishi wajina lako "" Siku zote nilikuwa naona kuwa inasomeka PRONDO ..kumbe ni RRONDO ..MAAJABU HAYA
Wenzio wanasema eti kuna ID PRONDO nayo ni yangu!leo ndio nimegundua kuwa huwa nakosea kwenye uandishi wajina lako "" Siku zote nilikuwa naona kuwa inasomeka PRONDO ..kumbe ni RRONDO ..MAAJABU HAYA
Hilo neno....kubadili nchi nzima itakuwa mtuhani. Ngoja niigonge hata mihuri mitatu kwanzaMkuu kama unaweza na unacho kitambulicho cha NIDA wape na hiyo ongeza mpunga unapata hiyo Mpya... msongamano wa 2020 na uchaguzi utaambiwa karatasi zimeisha akili zipo kwenye karatasi za Uchaguzi hiyo uliyochukua ni kama ile ya karatasi za kwenda East Africa ila ni kitabu....
hahaaa kwani kuna mtu mwingine humu anayeitwa PRONDO ""W
Wenzio wanasema eti kuna ID PRONDO nayo ni yangu!
Eddy,Labda huko huku kuna watu wana mwaka hawajapata
Wengi sana wanakosea.hahaaa kwani kuna mtu mwingine humu anayeitwa PRONDO ""
MIMI NIJUAVYO uko wewe tu pekee " na mimi ndiye nilikuwa nakosea kuliandika jina lako badala ya RRONDO nikawa naandika PRONDO ""
so sijui nawao walikuwa wanakosea kama mimi au nivipi !!?
lakini mbona haiingii akilini yaani mtu awe najina kama lko PRONDO-------RRONDO KISHA ATUMIE MPAKA AVATAR HIYO HIYO YA AINA MOJA LENGO LAKE HASAA NI NINI ""?
hapo sawaWengi sana wanakosea.