Nimeshawaza sana swala la kuongezewa Damu. Naomba nisije pata hiyo dhahama maishani. Damu ina DNA ya mtu means ukiongezewa Damu uneongezewa dna. Sasa najiuliza nikiongezewa damu ya mtu ana Tabia za ajabu, mchawi, jambazi, shoga au tabia zingine zenye utata inakuwaje?
Achana na kula nguruwe na...
Unamaanisha ritual magick havitofautiani na sigil?
Sigil huwa Naona ni complex sana kuandaa May be na ku charge.
Nilitaka kujua kama ritual magick ni risk kama griomoire? Maana hata kabla sija practice grimoire Naona ni risk pia complexity ya maandalizi……..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.