Grimoires kwa wanaoanza

Grimoires kwa wanaoanza

Nataka niwe na relax usiku nilalapo. Ila akili hutangatanga sana na kujizungusha tu kwa bed mnanisaidiaje watalaamu wa rituals
 
[mention]Mshana Jr [/mention] toa basic intro kwanza mkuu, umeanza deep moja kwa moja, mimi ngumbaru ni ngumu ku grab chochote kwa sitairi hii
 
Nikisoma mada fikirishi za hivi....

huwa najiuliza vitu fulani ....kwa hawa watu wasioamini uwepo wa Mungu...

Kama mapepo na majini yapo!? Iweje Mungu asiwepo!?

Hata Umeme una positive & negative...

Ni vitu lazima viendane sambamba...
Iwe Unataka!? Ama hutaki!?... Unapenda!?... Ama hupendi!?... Unaamini!?... Ama huamini!?...

Ukweli ndio huo!!!

Tunashuhudia watu waliorogwa kabisa kwa macho.... wenye majini... mapepo .....

Mwanamke anakuwa na jini anakuwa na nguvu zisizo za kawaida...

Na mapepo haya yanaogopa jina la Mungu linapotajwa tu....

Halafu anatokea pimbi mmoja... Anasema hakuna Mungu!!?.... Nonsense!!!
 
Offering Kwa ritual?
Au ceremonial…..?
Basi Nipo gizani mkuu
Yes lazima uwaalike na uwatunuku/uwalishe uwape chochote ama uwafurahishe
Lazima wawe na mahali maalum pa kufikia (madhabahu)
Unajua hao ni viumbe wa kaliba ya juu sana hivyo treatment yao sio ya kawaida
Mwisho inategemea na ulichowaitia lengo/hitaji ndio litaamua mchakato uwe ritual ama ceremonial

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[mention]Mshana Jr [/mention] toa basic intro kwanza mkuu, umeanza deep moja kwa moja, mimi ngumbaru ni ngumu ku grab chochote kwa sitairi hii
Tulianzia Hulu

Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wangu hii mada ni mwendelezo wa hizi mada

Ufahamu uchawi wa Sigil

Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Nakala ya asili ya Goetia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisoma mada fikirishi za hivi....

huwa najiuliza vitu fulani ....kwa hawa watu wasioamini uwepo wa Mungu...

Kama mapepo na majini yapo!? Iweje Mungu asiwepo!?

Hata Umeme una positive & negative...

Ni vitu lazima viendane sambamba...
Iwe Unataka!? Ama hutaki!?... Unapenda!?... Ama hupendi!?... Unaamini!?... Ama huamini!?...

Ukweli ndio huo!!!

Tunashuhudia watu waliorogwa kabisa kwa macho.... wenye majini... mapepo .....

Mwanamke anakuwa na jini anakuwa na nguvu zisizo za kawaida...

Na mapepo haya yanaogopa jina la Mungu linapotajwa tu....

Halafu anatokea pimbi mmoja... Anasema hakuna Mungu!!?.... Nonsense!!!
Soma hii hawatakupa shida tena

Atheism: Imani nusu na robo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini angewezaje kufanya hivyo? Hatujajifunza katika Mishna kwamba anayefanya kitendo kwa uchawi anastahili adhabu ya kifo? Kujifunza ni tofauti. Kama Bwana alivyosema: Imeandikwa [Kum. xviii. 9]: "Usijifunze kufanya"--maana yake: Usijifunze kufanya, lakini unaweza kujifunza kuelewa hilo kwa kusudi la kuamua kesi.
 
Usijifunze kufanya, lakini unaweza kujifunza kuelewa hilo kwa kusudi la kuamua kesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom