Recent content by Yamyam

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za kibazazi ni mbaya, nakuwa na huruma ila nakosa cha kufanya

    Ukiwa unamuaproach mwanamke kitu chakwanza kabisa mwambie ukweli kuwa nia yako ni kumchezea tu na kumuacha, yaani asitegemee zaidi... Uamuzi sasa utakuwa ni wake, kukubali au kukataa. Wewe utakuwa umeshamwambia ukweli wa nature yako wala hatokuja kukulaumu baadae....
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu iko mbioni kuvunjika, sijui nitamueleza nini mke wangu

    Nashukuru sana. Sijui mtu anapata faida gani kujitungia mkasa..!
  3. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu iko mbioni kuvunjika, sijui nitamueleza nini mke wangu

    Hivi kwanini baada ya kuharibu ndo unajua unampenda sana mwenzako???
  4. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi ni wepesi kununua viwalo, lakini wavivu kununua chupi zao?

    Mara nyingi tukifanya shopping ya nguo za ndani huwa tunaifanya kubwa kiasi, Tunanunua nyingi za aina tofauti na mara nyingi maduka tunayonunulia nguo za ndani huwa ni maduka kwa ajili ya hizo nguo za ndani tuu, So huwezi kutuona mara nyingi tukiwa tunanunua bidhaa hizo :-)
  5. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wa zamani wa msichana wangu karudi, anasema niachane nae

    Ni kweli kabisa. Mwenye maamuzi kamili ni huyo dada...
  6. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rate ya kutoolewa itaongezeka maradufu

    Hivi mambo ya kukataa mimba bado yapo? Halaf mwanaume anaejielewa hakimbii majukumu. Sema wanaume wametofautiana wapo wanaojielewa na wapowasiojielewa.
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

    Hahahahaha Amshonee mpenzi wake school uniform ???
  8. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana wivu sana

    Huyo ana mapenzi sana na wewe. Yaani wewe umechukua nafasi kubwa sana akilini mwake. Sasa muonyeshe unampenda na kumthamini sana huku ukimuelewesha taratibu vitu usivyovipenda. Ukichukua maamuzi mabaya unaweza kupata ambaye hakufikirii wala hana mapenzi ya kweli na wewe, Hapo ndipo...
  9. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi sina bahati ya kupendwa

    Tatizo lenu wanaume mlio wengi mnapenda mpendwe na kuthaminiwa nyinyi tu hamfikirii huyo anayekupenda na yeye anahitaji kupendwa pia... Jitathmini wapi unapokosea na ubadilike.
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi gani haya?

    Nimecheka sana ulivyomjibu.
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi gani haya?

    Hahaha Anataka ushauri aendelee nae au amuache...?
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni tatizo hili kulala na wapenzi wawili kitanda kimoja?

    Unataka kujua ni sahihi au si sahihi? Au unataka tujue una wapenzi wawili? Au unataka tujue kuwa unaridhika kuanzia masaa mawili na kuendelea?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Acheni hizo warembo mnatubania sana!

    Nimeguswa na nini? Mimi nimejishangalia tuu...
  14. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Tatizo la wanaume wengi, wakippata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kuthamini mapenzi zaidi ya pesa huwa wanawachukuliaje sijui, Wanaenda kuhonga wale wanaothamini pesa zaidi ya mapenzi. sasa hapo ndo tatizo...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Acheni hizo warembo mnatubania sana!

    Kazi kwelikweli...
Back
Top Bottom