Mapenzi gani haya?

Mapenzi gani haya?

Ndugu zngu wana-JF poleni na majukumu na mihangaiko ya kila uchao!.
KISA:
Naombeni ushaur wenu kwani kuna binti nilkutana naye kwny usafir tukakubaliana na kuingia kweny uhusiano baada ya kunitengenezea mazngira ya kuwa nae yy mwenyewe.Ila cha kushangaza alinambia ananpenda sana lkn mpka sasa ana bwna mwngne ambaye ni MKAGUZI WA HESABU wa jijini fulani huwa yuko busy sana.Je,kwa hali hiyo kuna mapenzi apo kweli???Tushauriane!!!

Huko ni kushindwa kujisimamia kifikra!!.Halafu hii tabia ya uasherati bila hata aibu vijana inawangamiza. (Mith 6:32)
 
ila huyo Mkagua hesabu hana lengo nae baadae THATS Y
 
That we may call it "misuse of our forums"

Tunamaliziana Mb tu.
 
Kama amekuambia anamtu ina maana wewe ni spea tyre maana main tyre iko busy
 
Bro pole sana ila jua kuwa
Haitatokea kamwe paka na panya wakatumia bakuli moja la maziwa
 
Mwambie na wewe ni MKAGUZI WA STADI ZA KAZI wa kijiji flani ila huwa uko available sana tu.
 
Back
Top Bottom