Nahisi sina bahati ya kupendwa

Nahisi sina bahati ya kupendwa

Kaka nikutie moyo, hauko peke yako mimi Nina miaka 31, kipato changu cha kawaida lakini mahusiano imeshindikana. siko kwe
nye mahusiano yoyote....
 
Mkuuu usipobadilika utaishia kulalamika JF na bado hutapata msaada. Hebu kuwa mtundu basi khaa, yani nilivyosoma hii post napata picha ulivyopooza. Hayo maelezo uliyotoa ni mazuri ila kwa kuombea kazi nyumba za ibada sio kutafutia mke.
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa nikisoma post za watu wengi humu Jf na wakati mwingine kuchangia,kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilidumu nae kwa mda wa miaka minne na tulikuwa na mipango ya kuoana ila badae wazazi wake walikuja kwenda kumsomesha mkoa mwingine na amemaliza kusoma na sasa anafanyakazi huko nakuishi huko.

Miaka mi3 imepita sijamuona na amekata mawasiliano kabisa. Nina umri wa miaka 32 na nimeshapata wachumba zaidi ya 7 ila huwa wananiacha katika hata bila kugombana,sivuti sigara wala sinywi pombe ya aina yoyote pia kipato changu ni cha kawaida tu. Umri unaenda nahitaji kuwa na familia yangu ila sijapati mwanamke aliyesiriazi na maisha.

Je, nitakuwa nakosea wapi wakuu?Izingatiwe imepita miaka mi3 sina mchumba anayeeleweka sababu huwa wanabadisha uamuzi wa mwishoni? Au nitakuwa nimeumbwa niwe single tu nini?

Ushauri plz

Tatizo lenu wanaume mlio wengi mnapenda mpendwe na kuthaminiwa nyinyi tu hamfikirii huyo anayekupenda na yeye anahitaji kupendwa pia...
Jitathmini wapi unapokosea na ubadilike.
 
sawa mkuu.
 
Mkuuu usipobadilika utaishia kulalamika JF na bado hutapata msaada. Hebu kuwa mtundu basi khaa, yani nilivyosoma hii post napata picha ulivyopooza. Hayo maelezo uliyotoa ni mazuri ila kwa kuombea kazi nyumba za ibada sio kutafutia mke.
poa nitabadilika mkuu.
 
Kaka nikutie moyo, hauko peke yako mimi Nina miaka 31, kipato changu cha kawaida lakini mahusiano imeshindikana. siko kwe
nye mahusiano yoyote....

Ipo siku MUNGU atafungua njia tu.
 
poa nitabadilika mkuu.

Usisahau ya kwamba vile unavyotendea wengine nawe utatendewa pia. Utapendwa kwa kadri unavyopenda. (whats goes around comes around) kama kuna mtu unamjua ulimtendea vibaya, yani ulimuumiza kimapenzi kwa namna yoyote ile basi muombe msamaha ili msameheane. Hapo utaona kila kitu kinaenda vizuri.
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa nikisoma post za watu wengi humu Jf na wakati mwingine kuchangia,kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilidumu nae kwa mda wa miaka minne na tulikuwa na mipango ya kuoana ila badae wazazi wake walikuja kwenda kumsomesha mkoa mwingine na amemaliza kusoma na sasa anafanyakazi huko nakuishi huko.

Miaka mi3 imepita sijamuona na amekata mawasiliano kabisa. Nina umri wa miaka 32 na nimeshapata wachumba zaidi ya 7 ila huwa wananiacha katika hata bila kugombana,sivuti sigara wala sinywi pombe ya aina yoyote pia kipato changu ni cha kawaida tu. Umri unaenda nahitaji kuwa na familia yangu ila sijapati mwanamke aliyesiriazi na maisha.

Je, nitakuwa nakosea wapi wakuu?Izingatiwe imepita miaka mi3 sina mchumba anayeeleweka sababu huwa wanabadisha uamuzi wa mwishoni? Au nitakuwa nimeumbwa niwe single tu nini?

Ushauri plz

Nimekuonea huruma jaman Kama ndo yamenitokea mie vile,usikate tamaa Mungu yuko upande wako ,hajakutupa mpendwa wangu,endelea kuomba Mungu atakupa chaguo lako pia usiwe unazubaa Sana nikimaanisha kuwa a man,wasichana wengi hawapendi wanaume waliozubaa wasio na maamz Kama mwanaume,future yko iwe powa itamshawishi msichana ,
 
asante kwa ushauri wako.
 
Mkuu hussein boxer kwa maelezo yako ya awali yanaonesha kuwa unataka kuonekana na wewe una mwanamke tu ili ufanane na watu wa rika lako au kuepuka minong'ono ya pembeni kutoka kwa watu unaofahamiana nao lakini sio kuoa kama unavyotaka tuamini.

Kwa mfano, umesema ulikuwa na mchumba ukadumu naye miaka minne, sasa hapo kunashangaza sana, unakaa na mtoto wa watu miaka minne?!!!! Kuna uchumba gani uliwahi kusikia unachukua muda mrefu hivyo? Au wewe unaelewa uchumba ni nini na kusudi lake ni lipi?

Kwa maelezo yako kwenye aya ya kwanza unaonekana ni mtu usiye na mipango au kuwa na mipango inasiyokamilika ndio maana ukaachwa na huyo uliyedumu naye kwa miaka minne; hapo sijawazungumzia mwingine/wengine.

Kuna mdau amekuuliza kama unatumia malaya, ukamjibu unao ila unataka wa kuoa! Sasa hapo kunashangaza maana ikiwa unapata huduma kwa malaya kwanini uhangaike na suala la kuoa? Hiyo tabia ya umalaya ndio inakupiga kalenda uchelewe kuoa kwa sababu unaonekana huna mipango uliyopanga kuikamilisha kwa wakati.

Pamoja ya kuwa sikufahamu ila nikivuta picha nakuona kama ni mtu anayeishi maisha ya vijana wadogo wanaoanza kujitegemea.
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu usipobadilika utaishia kulalamika JF na bado hutapata msaada. Hebu kuwa mtundu basi khaa, yani nilivyosoma hii post napata picha ulivyopooza. Hayo maelezo uliyotoa ni mazuri ila kwa kuombea kazi nyumba za ibada sio kutafutia mke.

Teh teh teh
 
Yeah I love it! sasa awekeze kwenye kuongeza kipato kwa vimiradi vidogovidogo, then ni kama kuku kumtayarishia mahindi tuu watakuja tuu tena wale wenye uhitaji wa mahitaji ya ndoa.

Mleta mada kama kakuelewa basi umempa tiba ya tatizo lake, short of that ataendelea kulia lia tu
 
ndonga yako iko vizuri!!?? kama haipo powa inaweza ikawa tatzo!! au personality yako wanawake hawaipendi,huwavutii!!Attraction yako toward women ni ndogo!!ungekua karibu ningekupa counselling na ningejua tatizo lako limelalia wapi
 
Usisahau ya kwamba vile unavyotendea wengine nawe utatendewa pia. Utapendwa kwa kadri unavyopenda. (whats goes around comes around) kama kuna mtu unamjua ulimtendea vibaya, yani ulimuumiza kimapenzi kwa namna yoyote ile basi muombe msamaha ili msameheane. Hapo utaona kila kitu kinaenda vizuri.

Hakuna hata niliyewahi kumuumiza kimapenzi mimi mara nyngi ndio huwa naumizwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom