mwambie unaebola hyo ndo dawa ya kukaa mbali nawe
mkuu sijakuelewa naomba uuweke ushaur wako vizuri asantemkuu umeingiza mdudu kwenye ndoa yako na atawala wote ishi na mwanamke kwa akili mkuu asa ukitaka uishi nae ka mtu na mamkwe mwenye gubu hiyo ndoa itakua historia soon...
usiishi na mkeo kama mtu unaeshindana nae ndo my point apo kwenye hyo post nnlokuquote ni maneno ya mtu anaemkomesha mwenzie na ndoa haipo ivo mkuu
Sawa Mkuu ila akiona hivyo haongei anakaa kimya maana anajua akikubali mazungumzo basi huo ni mkataba.ongea nae mmalize tofauti zenu ili muweze kusonga mbele.. wewe kama baba wafamilia mkalishe mkeo chini uongee nae kwa upole na busara atakuelewa...
Habari za huku.
Hongereni kwa uchaguzi ulioisha hivi karibuni.
Ndugu wanajamii nina mke ambae ana wivu na mimi mpaka nafikiri kumuacha maana hataki hata niongee na watu wa jinsia yangu.
Yeye kila siku analalamika kuwa nawapenda wazazi na marafiki kuliko yeye.
Muda wote anataka tukae wote tu hata kazi hakuna kufanya hivi ndio inakuwaga hivi au anataka kunianzishia isidingo?
Karibu.
Habari za huku.
Hongereni kwa uchaguzi ulioisha hivi karibuni.
Ndugu wanajamii nina mke ambae ana wivu na mimi mpaka nafikiri kumuacha maana hataki hata niongee na watu wa jinsia yangu.
Yeye kila siku analalamika kuwa nawapenda wazazi na marafiki kuliko yeye.
Muda wote anataka tukae wote tu hata kazi hakuna kufanya hivi ndio inakuwaga hivi au anataka kunianzishia isidingo?
Karibu.
Tatizo ulikataa elimu elimu elimu
Comments zako zinaonyesha huna experience na mke.ts nice kama umejua ni kujiendekeza,so stand as man maana inaonesha mkeo kakushika akili.Inamaana hauna kazi za kufanya hadi atake mkae wote siku nzima? labda unajishughulisha na kazi gani ebu tujulishe.
Hapo unakosea ndugu. Ndugu yangu aliambiwa na mkewe kuwa kama hatakuwa anamwambia 'I love you' wenzake watampatia. Tukadhani uongo, mwisho wa siku wakati jamaa akidhani sasa katulia kumbe mchepuko tayari. Nakushauri jaribu kuwa friendly naye taratibu atazoea ila ukiwa mkali mno, naye ni binadamu ata..... (malizia)Nimeonyesha Makali yote mpaka sim simpigii tena pia kuuliza kitu hom simuuliz tena maana naona nikimuuliza anazingua kuj8bu kana kwamba hakuna mwingine wa kunijibu
Safi sanaHuyo ana mapenzi sana na wewe. Yaani wewe umechukua nafasi kubwa sana akilini mwake. Sasa muonyeshe unampenda na kumthamini sana huku ukimuelewesha taratibu vitu usivyovipenda.
Ukichukua maamuzi mabaya unaweza kupata ambaye hakufikirii wala hana mapenzi ya kweli na wewe, Hapo ndipo utakapomkumbuka uliyemuacha kwa sababu tu anamapenzi ya kweli na wewe.
Fikiria...