Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Mnaleta michosho tu hamna ishu, waja pm kuuliza kama nasoma au vepe mfyuuuuuu wataka kunilipia ada teh
Ndo ukome kucheza na vitoto....
Mnaleta michosho tu hamna ishu, waja pm kuuliza kama nasoma au vepe mfyuuuuuu wataka kunilipia ada teh
Jukwaani huonekani kumbe upo bize pm lol
Avatar zinawachanganya wengi kumbe wengine kiuhalisia wana sura kama za baba zao wakubwa.
Kiukwel siyo tabia nzuri kufungia wanaume pm. Ila pia mnaboaga huko mikija mnakuwa amna hata pesa njaa tu
Heaven on Earth analea mimba... usifanye mchezo na mimba iliyotengenezwa mchana. Nakumbuka hiyo siku mvua ilikuwa inanyesha... ishara ya kupata dume langu la sita.
Kuna kamoja hako nilikabembeleza kaachie PM yake wazi ili nikape mchongo. Basi kakakubali kakaiachia tukapeana mawasiliano. Nilivyokutana nako nikajiuliza PM kalikuwa kanambania nani? Sura kama ngumi ya mwizi wallah...
Utafiti bado unaendelea...
!!! Ngumi Ya Mwizi Inakuaje Kuaje???Hivi unajua navikumiss? Hebu twende PM tukapange mipango mikakati....
umeguswa?
siyo fair pretie...
Hahahahahahahahaha loh
Nimepita hapa
Mpendwa fungua yako basi
Yangu iko wazi mpendwa.......
Ila kujibiwa majaaliwa
Upo ww bibie
Nipo usiponiona hapa ujue nipo bize pm kama kiwatengu lol
Ndo ukome kucheza na vitoto....