Recent content by Yamour

  1. Y

    Da uhamiaji noma

    Hujaonesha sehemu ambayo walau kuna ashiria udaiwaji wa rushwa km ulivoanza kueleza mwanzoni mwa maelezo yako, Labda kwa usumbufu ambao unauona
  2. Y

    Mama mkwe na mke wangu

    mama angu, mi nahc la huyu kaka ni tofauti na mwanao, yey amemsoma mkewe kua hana furaha na mmewe labda na mama ake, apo ni maisha magumu, binadam huezi ishi na mwenza wako ikawa wew hana furaha kwako ila kw watu wengine...apo unaishi na jini aisee. mi nahc kuvumilia maumivu sio vyema, atatue...
  3. Y

    Mama mkwe na mke wangu

    acha kaka, tumia busara, kwani uyo m.mke hajielewi kua ameolewa awe karibu na mmewe, aliitakia nin ndoa km hajamalza kunyonya, na kuzaa sio tatizo, km tabia izo anazo haziachiki kw kuzaa apo mama mkwe nd lawama namba moja..kutoijua nafasi ake kw ndoa ya mwanao umeolewa...tena kinyoko...
  4. Y

    Mama mkwe na mke wangu

    pole kaka, nlishaexperience maisha magumu yanayokukuta, ilikua ni wakati mgumu, si mazuri na jitahdi kutatua..otherwise yatakukuta yalionikuta mdogo wako kw mke wangu niliemuoa mwanzo.. mama ndio chaka la maovu la mabinti aina kama iyo, wanawapenda wanawao kupindukia hadi kuwatetea kwnye uovu...
  5. Y

    Liwa ni nini?

    most common watu wa pwani wanatumia nafikiri...wangazija nd usiseme wanatembea nazo hadi mijin uson wamepaka.. mi naona sana dada zng..mama na wife ni mambo ya w.ke, nafikiri wenyewe wanaweza pita apa wazoefu
  6. Y

    Liwa ni nini?

    ni gome flani ivi, au mti, unasuguliwa kwa maji kwemye sakafu, alafu unga wake unapakwa usoni, sana w.ke ndio hujipaka. ck izi pia ipo liwa iliotayari kwenye mapakti, ni unga unachanganya na maji unapaka, wanavosema wanasugua uso. kuna na sabuni za liwa, zenye kazi zinazofanana kwa lugha ya...
  7. Y

    Unapoandikiwa dawa hospita usiivamie tu kwanza...!

    hali ingekua ivo, kungekua hamna haja ya kuepo madaktri, aani dawa ukaagize nje kw internet!!!? serious mkuuu.. hoja ni moja tu, wagonjwa wanatakiwa wajue, ama wajulishwe kila hatua inayofanyika ktk matibabu yao, na kuelezwa bayana tatzo linalomsibu. otherwise, umekuja na pumba la mwaka
  8. Y

    Katika degree yako ipi course unaona ni baba lao??

    clinical physiology aisee...pale ntogwisangu..kidney man wth njelekela...hakianani kila nnavojihisi najua..ukija mthan hypo..aaagghhhrrr
  9. Y

    Mapenzi yanapovunjika mmoja kulalamika amepotezewa mda

    Khantwe umetishaje leo!!!?? una mawazo kama ya kwangu..chukua like
  10. Y

    Hili lilikuwa tusi eti sasahivi ni sifa

    chukua like mkuuu mi ni mswahili safi..na nakumbuka huku kwetu kwa waswahili wenzangu likitumika ivo..ila sikua najua kama asili ake lipo ivo shukran kwa elimu ulotoa
  11. Y

    Huyu mfanyakazi mwenzetu hatumuelewiii tunahsi sio rizki

    ivi wew mleta mada..ni jinsia ya ke au me..kwa jinsi ya habari ulivoleta na kuandika ni kama me..ila kwa mwendo wa uletaji habari ni kama ke..saa napata tabu kukuelewa..unanchanganya kwa kweli Alafu inakuaje ofisini mnafanya mambo kama aya..nna wasiwasi kua uko ofisini kwenu mmekubuhu kwa...
  12. Y

    Youngest Doctor In The World

    Mujahidin maana ake nin!?, hemu nifahamishe umeniacha
Back
Top Bottom