Mapenzi yanapovunjika mmoja kulalamika amepotezewa mda

Why not....
Mara ngapi umesikia mtu akisema nilikuwa nakupenda kitambo but you are already busy with that looser and I couldn't come forward.

Hahahaha zile sound tu hakuna lolote!!.
 
Haujanielewa ckumaanisha ivo, kusaula kwa kila mtu.
Ebu niambie utanjua mtu wakati hauko karibu nae.

Mkuu hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kila mtu ana udhaifu wake lakini inatia kichefuchefu anspofanya mambo ya makusudi kuumiza tu hisia za upande wa pili..
 
Hahahahaaaaa wengine wanasema huwa tunachezeana akili ...... Am not real sure
 
Mkuu hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kila mtu ana udhaifu wake lakini inatia kichefuchefu anspofanya mambo ya makusudi kuumiza tu hisia za upande wa pili..

Sio kufanya makusudi kumuacha mwenzako ikitokea kushindana tabia.

Ifike wakati kuachwa tuiachukulie kama opportunity ya kupata mtu bora zaidi.
 
Hiyo ya kuonjaonja si kila mtu anaitaka.....kuna sababu gani kila mahali utakapopita kuna mtu anajua u.chi wako? Sio sifa ni aibu

Khantwe umetishaje leo!!!??
una mawazo kama ya kwangu..chukua like
 
Why not....
Mara ngapi umesikia mtu akisema nilikuwa nakupenda kitambo but you are already busy with that looser and I couldn't come forward.

Afadhali itokee sasa huyo looser akuache mapema kabla huyo mtu wa Mungu hajakata tamaa sasa...
 
Na kuna wengine walipoteza watu muhimu kwa kung'ang'ania vimeo... Na huyo mme bora kumpata ni lazima nipitie kwa kimeo kwanza kwani siwezi nikakaa nikamsubiria tu?
Kosa ni la nani hapo...!? Unaona mtu potential then unang'ang'ania kimeo? Wa kulaumiwa hapo ni nani?
 
Ndio mnapoteza muda...maana you huo muda I could have been busy with someone who deserve it. Jembemtaji
Na utamjuaje anayedeserve kuwa na wewe? Hakuna kitu kama hicho, unaishi na mtu miaka mitatu...mwisho unalalamika amepoteza muda wako? Wewe ulishikwa akili hadi aupoteze mda wako bila kujielewa??
 
Last edited by a moderator:
Kosa ni la nani hapo...!? Unaona mtu potential then unang'ang'ania kimeo? Wa kulaumiwa hapo ni nani?

Moyo wa mtu kiza kinene...unaweza kudhani upo mahali umetua mabegi kumbe mwenzio kichwani anakuona kigagula tu siku ukija kujua undani wake utajuta kumfahamu
 
Hicho kiza cha miaka miwili-mitatu kama hujakuona utakuwa na shida...!
 
Na utamjuaje anayedeserve kuwa na wewe? Hakuna kitu kama hicho, unaishi na mtu miaka mitatu...mwisho unalalamika amepoteza muda wako? Wewe ulishikwa akili hadi aupoteze mda wako bila kujielewa??

Kwanza siwezi ishi or kuwa na mtu 3 gademu years bila kujua msimamo wake. Either hes in for all or I am out. Yani huo muda wa miaka mitatu ningekuwa kwenye michakato ya kutafuta mwengine kuliko kuwekeana usiku. hayo mambo ya kujishikiza siyawezi mie......There is difference of being patient and wasting time.

Sorry I am not that woman that can wait that long..........nashangaa eti mtu anamchumba for 5ys and still waiting.
 
Ikitokea hii ujue umeongezewa experience ya kukabiliana na mapenzi!
 
Kwanza siwezi ishi or kuwa na mtu 3 gademu years bila kujua msimamo wake. Either hes in for all or I am out. Yani huo muda wa miaka mitatu ningekuwa kwenye michakato ya kutafuta mwengine kuliko kuwekeana usiku. hayo mambo ya kujishikiza siyawezi mie......There is difference of being patient and wasting time.

Sorry I am not that woman that can wait that long..........nashangaa eti mtu anamchumba for 5ys and still waiting.
5yrs na hawajui hatma zao, alafu wanalalamika eti wamepotezewa mda. Si ujuha huo!!! Mtu anayejitambua, ndani ya miezi sita waweza kusoma na kujua kila kitu.
 
Binafsi sielewi mtu anapolalama eti nimepotezewa mda na boyfrnd au girlfrnd wangu.

Mpenzi anakupotezeaje mda wakati mnaishi mlikua mnakutana labda mara 2 adi 4 kwa mwezi mzima, kwa sababu wapenzi wengi ukutana mwishoni mwa wiki.

Nijuavyo unapokua na mchumba maisha mengine yanaendelea kama kawaida.
Yaani kama mkulima anaendelea na kilimo, na mfanyakazi anaendelea na kazi na wanaosoma wanaendelea na masomo.

Ingekua unapoingia kwenye mahusiano shughuli zako ulizokua unazifanya unaacha ingekua sahihi kupotezewa mda, lakin kama ulikua unaendelea na mambo yako umepotezewaje mda wako.

Zaman ilikua kwa wadada ndio walalamikaji WA kupotezewa mda lakin siku izi ata wanaume wanalalamika wamepotezewa mda. Sijui ni hasira ya kuachwa.

Na Mara nyingi wanaolalamika kupotezewa mda ndio wale waliokua mzigo kwa wenza wao.

Mdau we unalielewaje hili LA kupotezewa mda.

kwenye mapenzi hakuna kupotezewa muda wajinga ndo hujipotezea muda wenyewe,,wewe m2 na akili timamu upotezewe muda? Ukiona muelekeo sio anza kumpotezea yeye muda akija kustuka kumekucha....wewe huyoooooooooo kama mwenye wa clouds tv.....
 
Binafsi sielewi mtu anapolalama eti nimepotezewa mda na boyfrnd au girlfrnd wangu.

Mpenzi anakupotezeaje mda wakati mnaishi mlikua mnakutana labda mara 2 adi 4 kwa mwezi mzima, kwa sababu wapenzi wengi ukutana mwishoni mwa wiki.

Nijuavyo unapokua na mchumba maisha mengine yanaendelea kama kawaida.
Yaani kama mkulima anaendelea na kilimo, na mfanyakazi anaendelea na kazi na wanaosoma wanaendelea na masomo.

Ingekua unapoingia kwenye mahusiano shughuli zako ulizokua unazifanya unaacha ingekua sahihi kupotezewa mda, lakin kama ulikua unaendelea na mambo yako umepotezewaje mda wako.

Zaman ilikua kwa wadada ndio walalamikaji WA kupotezewa mda lakin siku izi ata wanaume wanalalamika wamepotezewa mda. Sijui ni hasira ya kuachwa.

Na Mara nyingi wanaolalamika kupotezewa mda ndio wale waliokua mzigo kwa wenza wao.

Mdau we unalielewaje hili LA kupotezewa mda.

NAPATA SHAKA SANA UWEZO WAKO WAKUFIKIRI MUWEKA MADA. SIKUTUKANI, ILA NAHISI UWEZO WAKO MDOGO SANA!
hasa kwa namna ulivotafsiri neno kupotezewa muda????
 
Back
Top Bottom