Recent content by yahyasaed

  1. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

    Wewe unazungumzia madaraja yapi yaliopandishwa? Kisheria ni baada ya 3 hadi 4 mtu anatakiwa apande daraja. Watu wa 2013 ndio wamepandishwa mwaka 2019. Na wa mwaka 2014 hawajui hatima yao. Wa mwaka 2015 kuja juu ndio hawapo kwenye mpango huu wa miaka mitano. Acha kuandika pumba hapa.
  2. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Boxer BM 150 inauzwa laki tano

    Hii ngoma kila siku unashinda gereji hadi unakua makenika kbs
  3. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwalimu wa Sekondari

    Diploma ni TGTS C Degree ni TGTS D Hiyo sio mishahara ya walimu bali ni mishahara ya watumishi wa umma wanao ajiriwa kwenye halmashauri.
  4. yahyasaed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi hawapendi fedha wala mali bali saizi ya mashine

    Pumba kiwango cha STIGLAZ GOJI
  5. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

    Panda Metro coach, ukutane na wazungu, watasha, lugha ya mawasiliano ni kimombo hakuna kibantu. Nilipandaga miaka ya 2013 wakati niko shuleni hadi leo sijaona la mfano wake, bus kama ndege
  6. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Mkuu Physics nahofia mathematics inaweza kunishusha gpa, maana nimesikia walimu wa pale udsm wanapenda sana kukomoa watu hasa department ya Physics, all in all ntajaribu mkuu. Thanks kwa mawazo yako
  7. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Masters anaweza kusoma ila ni kwa course work and dissertation, masters by thesis ndiyo inataka gpa 3.5, kwahy gpa masters anaweza sana kusoma
  8. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Mkuu nashukuru kutoa muda wako kunishauri kwenye jambo hili. Nitafanya ya Biology, msc applied zoology ya msc physics nahofia mathematics maana si mzuri sana kwenye adv mathematics
  9. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Sawa mkuu ngoja niangalie requirements nione ka nafit
  10. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Mathematics sikusoma mkuu. Nilisoma Physics na Biology bachelor
  11. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    [emoji120][emoji120] nashukuru sana mkuu. Nitapambana hadi kieleweke
  12. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Je, mtu huyu anasifa za kwenda Kusoma Comb ya PCB kidato cha tano Government?

    Kama anataka a level tu bas Akafanye CBG, PCB labda akasome private kwa serikalini sio rahisi
  13. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Ahsante sana mkuu. Ngoja nifanye utafiti nione
  14. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Leta wazo boss au mtazamo wako[emoji4]
  15. yahyasaed

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Ahsante sana mkuu, umenipa mwanga zaidi ila ulivyosema kozi za Biology zina mwelekeo mzuri umezidi kunipa hamasa zaidi. Shukrani,,,
Back
Top Bottom