Recent content by Ya-Moyoni

  1. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Hatafuti kazi, anasubiria atafutwe

    Nimemcheka sababu i know hata mtaji hana
  2. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Hatafuti kazi, anasubiria atafutwe

    Ndugu mi tayari nishatoka kitambo na mimi ndie nilimwambia kama vipi nimuunganishe kwenye kampuni fulani akazingua.
  3. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Hatafuti kazi, anasubiria atafutwe

    Kuna watu wanaishi vizuri kweli Kuna jamaa yangu kamaliza degree ya usimamizi wa biashara kwenye upande wa hesabu na fedha na Yuko vizuri kweli kwenye utendaji.....anasema hana muda wa kutafuta kazi bora akafuge kuku labda yeye ndio atafutwe.. .. .hahahaaz amenifurahisha Hebu mpeni ushauri.
  4. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Bashe: CCM acheni unafiki, mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama. Nipo tayari mniondoe kwenye chama

    Next Great Season "acha nikae kimya"
  5. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    Who Next? Watch Out New Season Bonjour Tanzanie
  6. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Utekaji huu una baraka za serikali?

    Final Episode
  7. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, haijui ROMA alipo

    Siasa Kwenye Maisha Ya Watu! Bonjour Tanzanie
  8. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Hiyo Mbinu Ya Kugawanya Hao Ngamia Ndio Wangetumia CDM kama CUF pale
  9. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Acheni Ubashite, busara ni kitu muhimu sana, FIKIRIA HUU MFANO HAPA BABA ALIKUWA NA WATOTO WATATU, WAKATI ANAFARIKI ALIWAACHIA URITHI WA NGAMIA 17 AMBAO ALIPENDEKEZA MTOTO WA KWANZA APEWE 1/2 YA NGAMIA WOTE, WA PILI 1/3 NA WA MWISHO 1/9 YA NGAMIA WOTE. JE KATIKA HALI KAMA HII UNAWEZAJE KUGAWANYA...
  10. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Audit / Tax / Advisory... nipeni ma ujanja mazee!!

    Utawezaje Kunifanyia ukaguzi (auditing) mimi kama mhasibu wakati wewe mwenyewe huna msingi mzuri wa accounting kwa ujumla? kwa ufupi tu hutaweza ku-interpret financial statement maana si kazi rahisi ya kujichukulia tu short course then ukafanye auditing kuna mambo mengi sana ambayo utahitajika...
  11. Ya-Moyoni

    JamiiForums Tanzania Audit / Tax / Advisory... nipeni ma ujanja mazee!!

    Hapo achukue TAX coz ni rahisi kui-capture ila itamgharimu miezi mitatu ya kubrash. So either PWC wamsomeshe hiyo miezi mitatu au akapige mwenyewe. AUDIT si mchezo kwa mtu ambaye hana background nzuri yake.
Back
Top Bottom