Audit / Tax / Advisory... nipeni ma ujanja mazee!!

Una MIHEMKO sana ya siasa KAOMBE KAZI BAVICHA huko unakotaka kwenda HAWATAKUVUMILIA
 
Utawezaje Kunifanyia ukaguzi (auditing) mimi kama mhasibu wakati wewe mwenyewe huna msingi mzuri wa accounting kwa ujumla? kwa ufupi tu hutaweza ku-interpret financial statement maana si kazi rahisi ya kujichukulia tu short course then ukafanye auditing kuna mambo mengi sana ambayo utahitajika uwe umecover e.g accounting standards zote. si vitu vya kuchukulia juu juu
may be kama unataka kuwa AUDITOR 'UCHWARA'.
 
Duuuh.. Blaza, sasa nitashindwa dogo nimpe ushauri gani...

Maana wengi wanasema Auditing, wewe unasema Tax. Sema sababu unazotoa nimekuelewa.
 
Mimi ningemshauri achukue Tax, sio pana kivile na nirahis kubrashika..Audit is too deep sio rahis kubrashika kwa muda mfupi.
 
Hongera kwa huyo ndugu yako. Ina maana ana aptitude nzuri kuweza kuajiriwa kwenye shirika kama hilo. Advisory, itamfaa zaidi, kwa vile ana background ya scientific approach to things.
 
Wakuu....

Kitu nilichopata Kutokana na michango yenu ni kuwa:

Auditing ni ngumu ku capture kuliko Tax.
Maana yake kwa mtu asie na background ya Accounts ni rahisi kuelewa Tax kuliko Auditing.

Vipi kuhusu future progression.
Nimesikia Auditing lazima usome Professional courses (mnaitaga CPA sijui ACA). Vipi na upande wa Tax haina hizo mishe......

Mwisho kabisa:
Mimi nikichukua Tax, mwingine akaenda Audit... Baada ya Miaka 2 au 3.. Tofauti yetu itakua nini.. Salary / Employment opportunity??
 
Mkuu Siku hizi kuna kitu kinaitwa Information Systems Audit, Hiyo inahitaji watu wenye background ya computer science and IT Kwahiyo usihofu kuhusu swala la kuwa Na background ya accounts Au finance

Nina uhakika Kwa asilimia kubwa watamchukua Kwa ajili ya IS audit. Achana Na mambo ya tax afanye kazi ya kile alicho kipenda Na kukisomea Kwahiyo Audit itamfaa Na ina future nzuri tu
 
Wakuu....

Kitu nilichopata Kutokana na michango yenu ni kuwa:

Auditing ni ngumu ku capture kuliko Tax.
Maana yake kwa mtu asie na background ya Accounts ni rahisi kuelewa Tax kuliko Auditing.

Vipi kuhusu future progression.
Nimesikia Auditing lazima usome Professional courses (mnaitaga CPA sijui ACA). Vipi na upande wa Tax haina hizo mishe......

Mwisho kabisa:
Mimi nikichukua Tax, mwingine akaenda Audit... Baada ya Miaka 2 au 3.. Tofauti yetu itakua nini.. Salary / Employment opportunity??
Ni ACCA na siyo ACA, kuzito huko. Ajipange na aanze na ATEC I ni kama miaka kumi hivi ndiyo atapata CPA hata kama genious
 
Back
Top Bottom