Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,686
Niaje Wazeiyaaaaaaaaaaaah
EBANA SAWA:
Kuna dogo langu kamaliza shule mwaka jana pale UD (ana bachelor ya Computer engineering)
Sasa nadhani kutokana na ugumu wa soko la ajira uliosababishwa na sera za mkuu John Alcohol Jozee Masolex dogo amefikiria kupiga kazi yoyote mradi kazi kazi.
Ame apply kwenye graduate recruitment program ya PWC (auditing firm).
Kwanza nimeshangaa kusikia hata waliosoma engineering courses wanaweza ku apply kazi za watu wa Business.
SASA BASI:
Kuna kipengele cha kuchagua line of service Audit/Tax/Advisory.
Dogo amekwama hapo. Hajui achague ipi aache ipi...
Kaniuliza nimejaribu ku google which service is convenient nakutana na forums za wazungu wanabishana tuu... Nikaona watanipoteza hawa...
Nikaona isiwe tabu, Nikafungua jamiiforums nikaandika huu uzi.
Nimeleta hapa mpate kunishauri ili namie nipate kumshauri dogo.
Kati ya hizo service line tatu (Tax/Audit/Advisory):
1. Ipi ni suitable kwa graduate ambae hana background ya Business related degree
2. Ipi ni rahisi ku capture kwa haraka.
3. Ipi ina demand kubwa (rahisi kwake ku apply na kupata).
4. Ipi inalipa vizuri. Kwa sasa na miaka ya baadae pia.
5. Kwa kifupi service line ipi ni potential kulingana na sifa za dogo hapo juu
Nisaidieni Wataalam mliopo kwenye field hii.. I know almost nothing.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng