Hatafuti kazi, anasubiria atafutwe

Hatafuti kazi, anasubiria atafutwe

Ya-Moyoni

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
13
Reaction score
10
Kuna watu wanaishi vizuri kweli
Kuna jamaa yangu kamaliza degree ya usimamizi wa biashara kwenye upande wa hesabu na fedha na Yuko vizuri kweli kwenye utendaji.....anasema hana muda wa kutafuta kazi bora akafuge kuku labda yeye ndio atafutwe.. .. .hahahaaz amenifurahisha
Hebu mpeni ushauri.
 
nadhan unakwepesha , huyo jamaa ni wewe
Samahani ndugu wajumbe, kidogo nimechelewa kufika...
Naomba kuwasikisha.....
20180724_104537.jpg
 
Kuna watu wanaishi vizuri kweli
Kuna jamaa yangu kamaliza degree ya usimamizi wa biashara kwenye upande wa hesabu na fedha na Yuko vizuri kweli kwenye utendaji.....anasema hana muda wa kutafuta kazi bora akafuge kuku labda yeye ndio atafutwe.. .. .hahahaaz amenifurahisha
Hebu mpeni ushauri.
Yuko sahihi kwa upande wake binafsi
 
Kuna watu wanaishi vizuri kweli
Kuna jamaa yangu kamaliza degree ya usimamizi wa biashara kwenye upande wa hesabu na fedha na Yuko vizuri kweli kwenye utendaji.....anasema hana muda wa kutafuta kazi bora akafuge kuku labda yeye ndio atafutwe.. .. .hahahaaz amenifurahisha
Hebu mpeni ushauri.

Unamcheka? Kesho usije omba msaada kwake!. Tunatakiwa kutambua mantiki ya Elimu ni ufunguo wa Maisha. Maisha yanayozungzwa siyo kuajiriwa. Kufanya uzalishaji /Ujasiriamali
 
HATA MM NAFUGA KUKU SIO MBAYA KAMA UMEJOPANGA YANI KWA MWEZI LAZMA UWE NA FAIDA SIO CHINI YA 1.5M TShs.
 
Yupo sahihi kabisa kwa sababu anataka ajiajiri kitu ambacho wasomi wengi wameshindwa!!
 
Unamcheka? Kesho usije omba msaada kwake!. Tunatakiwa kutambua mantiki ya Elimu ni ufunguo wa Maisha. Maisha yanayozungzwa siyo kuajiriwa. Kufanya uzalishaji /Ujasiriamali
Nimemcheka sababu i know hata mtaji hana
 
Kuna watu wanaishi vizuri kweli
Kuna jamaa yangu kamaliza degree ya usimamizi wa biashara kwenye upande wa hesabu na fedha na Yuko vizuri kweli kwenye utendaji.....anasema hana muda wa kutafuta kazi bora akafuge kuku labda yeye ndio atafutwe.. .. .hahahaaz amenifurahisha
Hebu mpeni ushauri.
Ni kweli Kabisa!Ajira Ni Ngumu Sana Kupata Kwa Tz Ya Sasa!Kama Huna Mtu Unayejuana Nae Kwenye Ofisi za Watu Bora Ufuge Kuku!Watu Walioko nje Ya Mchezo wanaona Kutafuta Kazi Ni Rahisi Sana Ila Wangejua Jinsi Gani Ilivyokuwa Ngumu Kupata Kazi Wangenyamaza!Unakuta Mtu Una sifa Zote za Kupata Kazi Ila Sababu Hujuani Na Watu Wazito Unapigwa Chini
 
Kuna watu wanaishi vizuri kweli
Kuna jamaa yangu kamaliza degree ya usimamizi wa biashara kwenye upande wa hesabu na fedha na Yuko vizuri kweli kwenye utendaji.....anasema hana muda wa kutafuta kazi bora akafuge kuku labda yeye ndio atafutwe.. .. .hahahaaz amenifurahisha
Hebu mpeni ushauri.
Aje Miono kufanya kazi ya kufuga nyoka Na mende wa kumuuzia mjasiliamali namba moja Duniani NAMAINGO
 
Back
Top Bottom