Recent content by Y prince

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushindi wa makandokando kubebwa kulazimisha na ulaghai wala haunogi, Ninashauri Simba tuache janja janja tujenge timu

    Ndio maana halisi ya ubaya ubwela hiyo, ukidhamini vilabu kwa ajili ya kupata mserereko na sisi tunanunua marefa kwa ajili y kupata mserereko so kaa kwa kutulia endelea kufatilia ligi bado inaendlea
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Acheni chuki kutu msichokua na Elimu yake
  3. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea CAFCC: Simba vs Al-Ahly Tripoli msisahau rekodi hizi muhimu

    Mmemumelewa kweli mwandishi ?? Au tusubiri pombe imtoke kichwani?
  4. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Nazani mmeona pengo la sammata na msuva kwenye mechi ya leo tena tukiwa nyumbani
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta roller blade (kiatu cha matairi)

    Dozen au pair moja ?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta roller blade (kiatu cha matairi)

    Habari zenu wakubwa, Natafuta ni wapi naweza pata roller blades (viatu vya matair) za kununua either dukani au kama kuna mtu anacho na anakiuza tunaweza fanya biashara Mimi nipo mwanza kama kuna mtu pia anafahamu bei zake naomba msaada tafdhari ahsanteni.
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yaachana na Ayoub Lakred

    Kwaio ayubu anaenda wapi na dirisha limefungwq
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Unayama huu hapa. Ila.huko.miaka ya mbele ndoto itabadirika ila.kwa sasa na hii
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Mbona ma karibia kila mtu ni range range rover
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vifurushi vya kwenye hii menu vishakua vya kawaida sana
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Unq uhakik wa kupatw 13,000 hapo nikuelekeze jambo? Hakik limewasaidia wengi
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mwanume bikra yoyote lazima kapitia hii hali njoo tujikumbushe kidogo

    Habari wakuu na moja kwa moja niende kwenye mada kwa mwanaume yoyote ambae ndo anaanza kushiriki tendo kwa mara ya kwanza ni lazima apitie fedhea hii. Pindi anapo aanza kudumbukiza gogo kweny dimbwi ua anaskia raha kupita kiasi na haichukui dakik 1 tayl unaluta kashautupa na wenhine ni chini ya...
  13. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

    Kwanini hizi mada ua zinapata comment nyingi sana 🤔🤣?
Back
Top Bottom