Recent content by xungura

  1. xungura

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili

    wataalamu wa kiswahili hawapo??? washititi wa kiswahili hawapo??
  2. xungura

    JamiiForums Tanzania Serikali baada ya kukusanya kodi hatuambiwi zinaenda wapi

    Yaani wewe kaka hujui Alafu hujui Kama haujui Na ndio nyie mnaokosoa serekali kila siku Kama hujui kazi ya kodi au zinafanya nini??
  3. xungura

    JamiiForums Tanzania Nitawaleteeni makala nzuri kuhusu ulaghai wa wazungu kwa walibya na majuto waliyonayo hii leo ili msije kunasa kwenye mtego uliowanasa Walibya

    Yote hayo uliyosema hayahusiani na maendeleo ya mtu Mmoja Mmoja, haya tatui tatizo la ajira kwa vijana wetu, kwa kifupi mnayopigania hayaoneshi dira ya maendeleo zaidi.mjitafakari
  4. xungura

    JamiiForums Tanzania Trump anailinda Marekani au ni mbaguzi ? kawararua wasomali na mbunge wao ni wezi wa fedha za jimbo walilojaa, wavivu na walalamishi wasio na shukrani

    Ni mmbaguzi na aliyoongea hayana ukweli dunia nzima inajua kupitia Idara aloyoianzisha yeye mwenyewe iliyokuwa unasimamiwa na Elon taaasisi zao za kutoa misaada ndio zinatoa pesa kwa ajili ya ku fadhili ugaidi duniani Tena Somalia nawapongeza Nigeria Amna wao wa tafute jimbo lao wajazane,Ghana...
  5. xungura

    JamiiForums Tanzania Viongozi wazungu wanatupenda sana Waafrika kuliko hata viongozi wetu wanavyotupenda wenyewe

    Ndio hao waliopo nje ya machafuko yote na Bado mnasema wanatupenda?? Ndio hao hao walioleta vita Congo, Sudan, Libya n.k Alafu mnasema wanatupenda Kwa Fikra hizi tusiwwlaumu kabisa Wazee wtu waliotawaliwa na wwzungu huenda walianza kufikiri hivi hivi Kama tunavyofikiri sisi Leo
  6. xungura

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inawazungumzia sana waliohamsishha maandamano ya amani na imekaa kimya kwa walioua Watanzania?

    Kaka naona tunabadili lengo la maaandamano hatukuhasishana yawe maandamano ya amani Bali Tulihamasishana kuzuia uchaguzi kwa kuchoma moto vituo Vya kupiga kura, kuwatisha wapiga kura kuchoma moto nchi MANENO HAYO YALIKUWA YAKIJIRUDIA KILA HAMASA ZA MAANDAMANO ZILIPOKIWA ZIKIFANYIKA...
  7. xungura

    JamiiForums Tanzania Kwani Kosa la January Makamba na Nape ni lipi?

    Sasa awajibishwe alietoa ridhaa ya vyura kwenda marekani nani? No January makamba?? Yeye kakuta vyura vipi huko muda na hii si mada iliyozuka tu mwaka huu huwa ipo Acheni chuki zisizojenga
  8. xungura

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. xungura

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

    Mshana umetangaza kustaafu bado watu wanakuhitaji Umefungua uelewa wa baadhi ya wengi Rudi kilingeni
  10. xungura

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

    Kama mnajua hvo kwa nn mlikuwa hamfanyi wakati mzee magu yupo? Cdm bana
  11. xungura

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Taarifa fupi ya kazi husika ni IPi mkuu
  12. xungura

    JamiiForums Tanzania Hongera bi LATIFA Kwa UTEUZI wa Kuwa mkurugenzi WA taasisi yetu muhimu ya biashara

    habari Wana jamvi Hongera bi LATIFA Kwa UTEUZI wa Kuwa mkurugenzi WA taasisi yetu muhimu ya biashara tumaini la watanzania ni kuendelea kutoa na kuongeza fursa za kibiashara nje ya nchi Ombi langu kwako mama mkurugenzi ni Kuwa wananchi wengi hawajui kuhusu taasisi hii muhimu, fursa nyingi...
  13. xungura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuagiza bajaji kutoka nje ya nchi?

    Habari Wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavojieleza wakubwa naomba kuuliza tumezoea watu wakiagiza magari na vitu tofauti kutoka nje ila Kwa upande wa bajaj umekuwa tofauti Sana. Chanel za uagizaji au ule Uhuru kama uliopo kwenye ununuzi wa magari haupo. Naomba kuuliza ni njia ipi ya...
  14. xungura

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    Tena anasema kikwete alikuwa Hana Kadi nyekundu alikuwa anatembea na njano peke yake
  15. xungura

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    binafsi naona bajeti imegusa sehem nyingi na kutoa unafuu na ahueni Kwa watanzania isipokuwa kwenye suala la ongezeko la bei ya mafuta na miamala ya simu
Back
Top Bottom