Recent content by xuma33

  1. xuma33

    JamiiForums Tanzania FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

    Mikia ilipigwa kipogo cha mbwa mwitu kipindi cha pili haikurudi uwanjani au umejisahaurisha!!!!?
  2. xuma33

    JamiiForums Tanzania Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    mkuu vp hivi ukitumiwa mzigo kwa DHL kodi yake bei gani hapo bandalin?
  3. xuma33

    JamiiForums Tanzania Mchele 3200kg, maharage 3000kg na mahindi 100 yamefika 140k

    ndugu yangu we hujui kitu kaa kimya magu ndo kakomboa zao la korosho kabla yake korosho ilikua 1500-1800 kwa kilo lakini ye kaja kapandisha thaman ya korosho wew itakua sio mmakonde ndo maana unalopoka longera Chinu cha kueleweka bhana......
  4. xuma33

    JamiiForums Tanzania Mchele 3200kg, maharage 3000kg na mahindi 100 yamefika 140k

    na huko ruvu wanako nyang’anywa wakulima mashine za umwagiliaji hiyo selikari inataka wakulima wakalime wapi au ndo poor government support...?
  5. xuma33

    JamiiForums Tanzania Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine

    kwan vita haijaixha tyu wazee tukakamate tenda za ujenzi
  6. xuma33

    JamiiForums Tanzania Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    mkuu mbon unacheka?
  7. xuma33

    JamiiForums Tanzania Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    wakuu samahan et dagaa w nyasa debe linauzwaje kwa sas huko songea?
  8. xuma33

    JamiiForums Tanzania Soko la kuuzia nyanya kwa Dar es Salaam

    wakuu naomben maelekezo kw wakazi wazoefu wa mkoa w morogor na pwani ni vjij gani nawez pata nazi na ndimu kw huakika?
  9. xuma33

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    wakuu samahan kwa wazoefu wa mkoa wa pwani na Moro ni vjij vp naweza pata nazi na ndimu kw huakika?
  10. xuma33

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    funguka basi mkuu watu bado hatuja kuelewa kaka maneno yko km siasa wakati mifumo y pesa haiitaj siasa mkuu
  11. xuma33

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    samahan wakuu kwa wakazi wa mkoa wa pwani na Moro ni vjiji vp naweza pata nazi na ndimu kw huakika?
  12. xuma33

    JamiiForums Tanzania Moja kati ya ndoto za kila kijana ni kuwa na maisha mazuri

    wazee kw wakazi wa mwanza,kagera ,songea na kigoma dagaa znauzwaje huko kwa debe naomben mxaada wakuu.
  13. xuma33

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni kijana wa kitanzania elimu kuanzia kidato Cha nne,?na upo Mkoa wa Kagera,Iringa,na Mbeya na unaweza fanya kazi ya Recovery kwa Saccos ?

    samahan wakuu kw wakaz w mwanza na kagera huko dagaa znauzwaj kw debe naombeni mxaada wakuu!!!
  14. xuma33

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    mbon uelewek mkuu au una bet unatafuta mech yenye odd 2 unatia mzigo?
  15. xuma33

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa kama ukikifanya kama kazi

    Mkuu me nahitaji la kukodisha hapo ruvu nilime mbogamboga unanisaidiaje?
Back
Top Bottom