Recent content by Xplorer

  1. Xplorer

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Natafuta Landrover Defender hata kama haitembei lakini ipo kwenye hali nzuri.
  2. Xplorer

    Natafuta Landrover Defender

    Natafuta Landrover Defender hata kama haitembei lakini ambayo haijachoka sana.Mwenye nayo anipe bei tufanye biashara chap.
  3. Xplorer

    More kickback secrets from SGR Kenya-Chinese Contract:

    Keep on dreamining wakati sisi tumeanza kuweka nguzo za umeme..
  4. Xplorer

    More kickback secrets from SGR Kenya-Chinese Contract:

    Kenya is now compelled to import goods, technology and services from China only. Kwa kweli Magufuli anastahili pongezi kwa kuwanyima Tender hawa Wachina,Probably ule mkataba wa mwanzo kati ya Tanzania na Wachina kwenye SGR ulikuwa ni worse compared to huu wa Kenya.
  5. Xplorer

    Plymonth Rock/ Bared Rock

    Mkuu wivu kivipi?umetueleza kwamba umenunua kuku(bared rock) kutoka ufaransa!!so unataka tufanyaje?....unauza ili tununue? au unataka tu tujue umenunua kuku kutoka ufaransa? au unagawa kwa anayehitaji? au wanaumwa unahitaji msaada? au kama ana sifa nzuri zaidi ya hawa tunaofuga katika...
  6. Xplorer

    Stigler gorge power project tender to be floated tomorrow

    TUESDAY, AUGUST 29, 2017 THE CITIZEN By Deogratius Kamagi @Deogratiuskamagi dkamagi@tz.nationmedia.com Dar es Salaam. Tender for the construction of a major hydro-electric power plant at Stigler’s Gorge along Rufiji River will be announced Wednesday, August 30. This was said in Dar es Salaam...
  7. Xplorer

    LAPSSET is dead-Raila

  8. Xplorer

    Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

    Naona kuna mtu anamjaribu JPM just let us wait and see!
  9. Xplorer

    Victor Wanyama and friends sees Tanzania as the best place to spend their Holiday.

    Baada ya mastaa kibao kutoka nchi mbalimbali kutua Tanzania kwaajili ya mapumziko wakiwamo Beckham,Sacko,Will Smith,Christian Eriksen,n.k Mchezaji mwingine kutoka Spurs anayejulikana kama Victor Wanyama ameona na yeye asiachwe nyuma na kulazimika kuja Tanzania kujionea mwenyewe kinachoitwa "The...
  10. Xplorer

    After Will Smith and Beckham,Liverpool Star Mamadou Sakho fly to visit Serengeti.

    wanazidi kumiminika tu,kama nilivyosema hadi kufikia mwakani kila mtalii atatamani kuja kuona "the soul of Africa" najaribu kufikiria pale zile ndege zetu zitakapokuja tukawa na direct flights kutoka Ulaya itakuwaje?
  11. Xplorer

    Ripoti za madini je, wachunguzi wanapewa mikataba kuipitia kabla ya uchunguzi?

    ile kamati ya mwanzo yenyewe ilikabidhiwa mikataba na takataka zote zinazohusu madini ya nchi hii sembuse hii iliyodeal na mikataba!
  12. Xplorer

    After Will Smith and Beckham,Liverpool Star Mamadou Sakho fly to visit Serengeti.

    Acha wivu kijana! hao unaowaona wa maana huku Tanzania walishafika siku nyingiiiiii hadi tumesahau...ngoja sasa nikufanye uwashwe vizuri.. Huyo Beyonce wako hapa yupo Bongo tena tukamvalisha kimasai kabisa . Ona jinsi Jigga anavyojiachia huku Bongo... Huyu ni billionea wa kimarekani (...
Back
Top Bottom