Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
Kenya is now compelled to import goods, technology and services from China only.
Kwa kweli Magufuli anastahili pongezi kwa kuwanyima Tender hawa Wachina,Probably ule mkataba wa mwanzo kati ya Tanzania na Wachina kwenye SGR ulikuwa ni worse compared to huu wa Kenya.