Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
Baada ya mastaa kibao kutoka nchi mbalimbali kutua Tanzania kwaajili ya mapumziko wakiwamo Beckham,Sacko,Will Smith,Christian Eriksen,n.k Mchezaji mwingine kutoka Spurs anayejulikana kama Victor Wanyama ameona na yeye asiachwe nyuma na kulazimika kuja Tanzania kujionea mwenyewe kinachoitwa "The soul of Africa'' na kujipatia mapumziko sahihi yeye na rafiki zake.
Ujio huo umezua maswali mengi nchini Kenya na kupelekea kufanyika vikao vingi vya tourism players ndani ya nchi hiyo vyenye malengo ya kutaka kujua kile kinachoendelea Tanzania.
Sisi sote ni ndugu,sisi tukipata ni sawa na nyinyi mmepata,EAC haitadumu kama baadhi yetu hatutapunguza wivu na kuamini katika umoja wa kweli na sio umoja wa kinafki,Ona kwa mfano huyu Mkenya anavyoumia roho kutokana na speed kubwa ya ukuaji wa utalii Tanzania..
nomasana, Sammuel999 NairobiWalker , @hbyuso, msemakweli, simplemind , Kimweri , @Bulldog, MK254 , Kafrican , @Ngongo , mtanganyika mpya JokaKuu , Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Geza Ulole