Recent content by Xhaks

  1. Xhaks

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

    Na hizi maiti hai za ccm ndio zinatugharimu leo. Tunafedheheshwa,tunatukanwa,tunaumizwa na kuvunjiwa heshima na hwa watawala wanaowaweka madarakani. Aisee cjui maksudi ya Mungu kuniacha nizaliwe tz lkn inauma sana
  2. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokosa mkopo wa Tsh. Bilioni 3 benki na niliyojifunza

    Hii hatua nilishavuka. Kamwe siwezagi kumdharau mfanyabiashara mwenye deni bank cz hio kukopeshwa tu ni una sifa
  3. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

    Uko sahihi,hawa jamaa wanapiga hela na ndo wanaokuamulia faida au hasara
  4. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

    Yote 9,ukweli wasanii mwaka huu wametisha asee.. 🙌🙌
  5. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

    Ni upuuzimtupu, yaaani identity ya mzikiwetu iwe singeli,serious?
  6. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

    Nakubaliana na wewe mkuu,lkn jaribu kuiangalia tz yetu kwaumakini imeshatoka nje ya hio misingi unayoizungumzia.. Nchi yetu imekuwa ya wachache wenye maamuzi ya wapi tuelekee hatakama tunapelekwa shimoni...
  7. Xhaks

    JamiiForums Tanzania UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM

    😁🤣🤣we jamaa nimecheka sana
  8. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Kama USA Urais ni taasisi mbona Trump anajifanyia anavyotaka?

    Ngoja wanasiasa waje...
  9. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

    Hivi c fedha yao na yakwetu yakwetu iko juu vile
  10. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

    Umeanza vibaya ukamaliza vzr. Bora ulivosema huna chakumshauri
  11. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

    🤣🤣🤣🤣jamaaa umeniua mbavu fala weweee!!
  12. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wauzaji wa vifaa vya simu

    Mkuu hio mil15 ni pamoja na mtaji na nauli ya go an return?,na je hapo utapata faida kweli?
  13. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Nawaambia uchumi wa Tanzania upo juu kuliko wa Marekani wananibishia

    Sawa bhuanaa,Tz tuko juu asee..[emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Xhaks

    JamiiForums Tanzania CCM inatoka kwenye mikono ya familia fulani na kurudi katika hali na misingi ya kuanzishwa kwake

    Kwa kiasi flani magufuri amefanikiwa kukijenga chama,kitu anachoniboa ni Ile kuonesha hasira za wazi kwa upinzani Na kauli zake za kuwashughulikia. Ukweli chama kilikuwa kama cha wanafamilia za watu flaniflani...
  15. Xhaks

    JamiiForums Tanzania Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

    Nmecheka hapo kwa refalii Mkapa..haaahah
Back
Top Bottom