We jamaa.. Hakuna cheo cha amiri jeshi wa wilaya.. Amiri jeshi ni cheo cha rais peke yake.. Mwisho utasema ata wazir mkuu akiwa wilayani anakuwa mdogo kwa mkuu kwa mkuu wa wilaya... Tatizo hamsomi elimu ya uraia
Tatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..
Tatizo lilianzia hapa.. Man alipiga kona na mata alikuwa offside na kibendera alionyesha offside so kipa wa Liverpool alitakiwa kuweka mpira chini ili apige badala yake alipiga bila kuweka chini ndo kosa lipo hapo. Salah hakuwa offside
Sent using...
Kusomesha watoto ni jambo la msingi saana.. narudia wazazi someshen watoto wenu.
Nimepitia ulichokiandika kwanza inaonesha hujui hata unazungumzia nini.
Uandishi wako una mashaka saana.
Unasema unasema mbeya walikosea kumchagua mbuge baada ya kutoa solution unapiga kampeni ya CCM. Unashindwa...
Katika ndoa za kikristo vitu 2 vinaweza kusababisha watu watengane
1. Kifo
2. Uzinzi
Ukishaenda kukiri kanisani kwamba umezini mbele ya watu anakuwa amepata go ahead ya nyie kuachana.. na assume ndo dhambi uliyofanya. Inawezekana anataka muachane ili asionekane ana makosa ndo anataka kutumia...
Jamaa si katoa mawazo yake sio lazima ukubalianenae, sasa mbona wew umeleta majina ya brand za magari tu apo, na sio magari halisia, mtu anaweza miliki Toyota brevis yenye ubora kuliko BMW, siku nyingine uwe ukitaka kufananisha uwe unakuwa specific kidogo,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.