Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
Udikteta mambo leo!
Kadhalilisha jeshi
Umeeleza vizuri ila hapo mwisho umekosea.kipindi nipo kwenye mafunzo fulani ya Junior....
nilikuwa nikimpenda demu haswa awa walio ajiliwa kwenye halmashauri. nilikuwa nafanya juu chini napita nae kwenye kituo cha polisi ambako nilikuwa naripoti....pale kituoni nilikuwa nafanya kazi na maafisa wenye nyota {AIP, IP, ASP n.k} kwakuwa mimi nilikuwa sivai uniform kabisa wao wenye nyota zao walikuwa wananipigia saluti...niling'o mademu wengi sana kwa kupigiwa saluti...
kikubwa saluti ni salamu ambayo anae itoa anatakiwa awe timilifu kwenye unifomu....yani amevaa sare timilifu kuanzia kofia hadi viatu...
anaetakiwa kuanza kutoa salamu hiyo ni askari mwenye cheo kidogo...kumsalimu askari mwenye cheo kikubwa {ikumbukwe kuwa ni lazima mtoa salamu awe amaevaa unifomu timilifu...}
hivyo ikitokea askari mwenye cheo kidogo hayupo kwenye unifomu atatoa saluti ya mguu ambayo wengi hamuijui...saluti hiyo huwa inaambata na ubanwaji wa mikono kama alivyo fanya JOKATE hapo juu...
askari mwenye cheo kikubwa anae stahili kupokea saluti nae kama atapigiwa saluti ya mguu na akiwa amevaa sare timilifu kama alivyo vaa CDF hapo juu...ataijibu saluti hiyo kwa saluti ya kawaida.
n.b
saluti ya mguu inatolewa kwa askari ambao hawana unifomu/ amevaa lakini haijatimia...mfano awe hajavaa kofia...au amechanganya unifomu na mavazi mengine....
saluti ya mkono....inatolewa kwa askari waliovaa mavazi timilifu...anaeanza kuitoa ni Junior kwenda kwa Senior...
Junior hatokata mkono hadi Senior akate mkono....
hivyo Joketi kwa CDF ni Junior imemlazimu CDF aanze kumsalimia kwasababu Jokate hayupo kwenye Unifomu stahiki....lakini joketi nae ametoa saluti ya mguu kama nilivyoelekeza hapo juu...
nina imani mtoa mada umeelewa japo kidogo.
baadae uje na swali kwanini maiti zinapigiwa saluti
Hakikua sahihi, yeyote anayempigia saluti Rais anampigia saluti DC na RC kwasababu ni wawakilishi wa Rais. Kwa lugha nyepesi ni maraisNiliwahi kusoma humu kwamba cheo cha kijeshi cha CDF hakipigii saluti cheo cha DC au RC bali ni rais tu. Je nilichosoma kilikua sahihi?
Muke ya Boss naye ni Boss, ni hivyo tu.
Kabisa Mkuu, njaa mbaya sana. Mtu anaweza kufanya lolote tu, kisa tumbo. Inasikitisha sana.Kadhalilisha jeshi
Acha ubishi dogo, CDF amedhalilisha jeshi.kipindi nipo kwenye mafunzo fulani ya Junior....
nilikuwa nikimpenda demu haswa awa walio ajiliwa kwenye halmashauri. nilikuwa nafanya juu chini napita nae kwenye kituo cha polisi ambako nilikuwa naripoti....pale kituoni nilikuwa nafanya kazi na maafisa wenye nyota {AIP, IP, ASP n.k} kwakuwa mimi nilikuwa sivai uniform kabisa wao wenye nyota zao walikuwa wananipigia saluti...niling'o mademu wengi sana kwa kupigiwa saluti...
kikubwa saluti ni salamu ambayo anae itoa anatakiwa awe timilifu kwenye unifomu....yani amevaa sare timilifu kuanzia kofia hadi viatu...
anaetakiwa kuanza kutoa salamu hiyo ni askari mwenye cheo kidogo...kumsalimu askari mwenye cheo kikubwa {ikumbukwe kuwa ni lazima mtoa salamu awe amaevaa unifomu timilifu...}
hivyo ikitokea askari mwenye cheo kidogo hayupo kwenye unifomu atatoa saluti ya mguu ambayo wengi hamuijui...saluti hiyo huwa inaambata na ubanwaji wa mikono kama alivyo fanya JOKATE hapo juu...
askari mwenye cheo kikubwa anae stahili kupokea saluti nae kama atapigiwa saluti ya mguu na akiwa amevaa sare timilifu kama alivyo vaa CDF hapo juu...ataijibu saluti hiyo kwa saluti ya kawaida.
n.b
saluti ya mguu inatolewa kwa askari ambao hawana unifomu/ amevaa lakini haijatimia...mfano awe hajavaa kofia...au amechanganya unifomu na mavazi mengine....
saluti ya mkono....inatolewa kwa askari waliovaa mavazi timilifu...anaeanza kuitoa ni Junior kwenda kwa Senior...
Junior hatokata mkono hadi Senior akate mkono....
hivyo Joketi kwa CDF ni Junior imemlazimu CDF aanze kumsalimia kwasababu Jokate hayupo kwenye Unifomu stahiki....lakini joketi nae ametoa saluti ya mguu kama nilivyoelekeza hapo juu...
nina imani mtoa mada umeelewa japo kidogo.
baadae uje na swali kwanini maiti zinapigiwa saluti
kwa Hafla hiyo hapo Juu Mkuu wa Wilaya inaonekana ndiye anayewasalimu Mmoja Mmoja maana IGP naye kapiga wakati km ni kiitifaki ile salamu ya CDF ilitoshaUmeeleza vizuri ila hapo mwisho umekosea.
DC kujibu salam kwa kukakamaa ni maamuzi yake. Anaweza akakakamaa au akafanya anachojisikia yeye, sema tu 'inapendeza' kujibu kwa style hiyo.
Anayeanza kusalimia ni CDF kwasababu ni mtu mdogo kwa Rais
siwezi kubishana na wewe nina uhakika hata mafunzo tu ya mgambo hujawahi kuhudhuria...pole sanaAcha ubishi dogo, CDF amedhalilisha jeshi.
ivi Dc ana apishwa na Rais ama mkuu wa mkoa...?Umeeleza vizuri ila hapo mwisho umekosea.
DC sio junior kwa CDF, kwasababu DC NI MUWAKILISHI WA RAIS kwenye wilaya aliyopo. Hapo CDF anamsalimia 'tuseme' Rais wa wilaya ya Kisarawe, kwa lugha rahisi. Hata IGP anampigia salute DC kwasababu ni muwakilishi wa Rais.
DC kujibu salam kwa kukakamaa ni maamuzi yake. Anaweza akakakamaa au akafanya anachojisikia yeye, sema tu 'inapendeza' kujibu kwa style hiyo.
Anayeanza kusalimia ni CDF kwasababu ni mtu mdogo kwa Rais
Akiwa amevaaa suti kwani anakuwa hana rank ya kijeshi??Hapana,labda hawajui mipaka yao iko hivii.
Wakivaa uniform zao na vyeo vyao atampigia cdf au afisa mwingine yeyote wa wa jeshi aliyemzidi,ila akiwa kiraia kwenye majukumua ya kiDC,bas CDF akimkuta ataanza kumsalute.
Ni mambo fulani madogo ya kiprotocal yasiyo na athali zozote kiutendaji.
Mkuu haya mambo nimeanza kuyaona kisha nikaja kuyasoma kabisa.Akiwa amevaaa suti kwani anakuwa hana rank ya kijeshi??
Nb.....kuanzia Brig anaweza kupiga saluti hata ikiwa kiraia
DC anaapa kwa RC,lakini ndipo anaporipoti pia.ivi Dc ana apishwa na Rais ama mkuu wa mkoa...?
Dc anaripoti kwa Rais au kwa Mkuu wa mkoa...?
Mmmh kujua taratibu za salute ndio usomi?tanzania wehu wengi halafu ndio wasumbufu!Hizi comment za humu ndio utajuwa bavicha Ni vilaza jeshi lolote anamsalimia kiongozi wa kiserikali kwa salute.na hata kwenye kuaga maiti anaipigia salute
Ni ukilaza ukiwa hujui halafu ukalaumu Kama vilaza wa bavicha walivyolaumuMmmh kujua taratibu za salute ndio usomi?tanzania wehu wengi halafu ndio wasumbufu!
We jamaa.. Hakuna cheo cha amiri jeshi wa wilaya.. Amiri jeshi ni cheo cha rais peke yake.. Mwisho utasema ata wazir mkuu akiwa wilayani anakuwa mdogo kwa mkuu kwa mkuu wa wilaya... Tatizo hamsomi elimu ya uraiaMkuu wa wilaya Ni mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi vilivyoko wilayani kwake ndie amiri jeshi mkuu wa wilaya mwanajeshi ukiwa wilayani kwake yeye ndie boss lazima umpigie saluti
Chadema hujiita makamanda wakivaa magwanda ya mgambo wakati jeshi la mgambo hawajakanyaga
Hamjui protocol za kijeshi halafu ohhh chadema tunataka kukamata dola kwa ujinga Kama huu wako Nani awape nchi Thubutu.ABC za vitu vidogo kama hivi tu hamjui