Recent content by Wuwei

  1. W

    Watanzania kwanini tunachezeana akili

    Kamuulize huyo bashite wako kama ndio kakutuma hapa. Yeye alijuaje Wakina Roma watapatikana kabla ya Jumapili? Kwa kweli zero ni nyingi. Tafuta wenye akili fupi kama ya kwako then tell them "Roma na wenzake walivyojiteka wenyewe"
  2. W

    Madaraka Nyerere: Picha ya Mwl. Nyerere iondolewe kwenye wimbo wa Diamond

    Angeweka ya mama ake aliyemshaur akae kimya...akawashwa mdomo! Ni lini baba wa taifa alisema maovu yasikemewe!
  3. W

    Rais Magufuli alisaini msaada wa bilioni 500 wenye masharti yafuatayo...

    Hivi nyie Uvccm yani kwa akili zenu fupi mnataka kudanganyaa watu kuwa ni msaada wa bure. Hakuna msaada wa bure hata sekunde kutoka kwa hawa watu weupe. Wherever they give, they must get something in turn; and that thing must cost you dearly! na ni lazima ufuate masharti yao. !KEEP THAT IN MIND!
  4. W

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Bunge la Africa mashariki wanatumia kiingereza so kama mbunge hajui kiingereza unategemea miujiza aitetee Tanzania!
  5. W

    Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

    Toa research uliyofanya hadi kufikia hiyo data analysis! "Watu" gani hao? Sio kutoa naneno tu hapa!
  6. W

    Air Tanzania wakusanya BILIONI 9 kwa miezi minne

    Sio kwa uongo huu jamani! Hata wangekuwa wanalipisha mizigo yote inayoingia ndani ya ndege...bado huu muujiza utakuwa haujakamika!
  7. W

    Chapa kazi rais wetu, usikatishwe tamaa na wanaokubeza

    Kwenye suala la uchumi, kwa jinsi hali inavyoendelea TZ kwa sasa kitakachofuata ni "economic depression"
Back
Top Bottom