Watanzania kwanini tunachezeana akili

Watanzania kwanini tunachezeana akili

Kwa yule dada hata mimi nina mashaka sana, hivi mtu yuko hai anaweza kuelea majini kweli!!!! Hapana aisee hapa nikuchezeana akili tena mchana kweupe kabisa!!!
 
Habari ya jumapili
Nashukuru kuwa na jukwaa hili adhimu la jf

Wengi wetu tumekuwa waoga wa kusema ukweli hata kama ubaya unauona na unashindwa kukemea .

Nirudi kwenye hoja ni kuwa tanzania tumekuwa ni watu wa kuchezeana akili kufurahisha mabwana zetu na kutafuta kiki

Zaidi kivyama na kufurahisha wakubwa watu huogopa kusema ukweli hapa jf kisa mada itakosa wachangiaji

Ni ujinga au nitaonekana ni chadema au ccm,nirudi sasa miaka hii kumekuwa na matukio ya kijinga watu kujipoteza kwa makusudi kwa masilahi yao na watu wao

Nikiri kuna wengine ni kweli kama ulimboka lakini waliobaki huwa ni drama tunaanza 2016 zitto alipotea taarifa zikatolewa nyingi tu mara akarudi na hakusema alikuwa wapi,sosopi,ben,roma na kituko chengine ni kile cha juzi wenye ufahamu mdogo wameshindwa kuelewa kuwa azam walituchezea akili kutuonyesha kuwa mabaharia wao wapo makini katika uokoaji

Mtu ajitupe baharini alafu aelee bila kunywa maji kwa taarifa yenu yule msichana ile aina ya ulalaji kwenye maji si watu wote wenye kuweza ukijaribu wewe utazama kama jiwe

Hivi sasa naomba serikali kukutokea jambo la kipuuzi wasi site kuwachukulia hatua wahusika,kuna mwaandishi wa habar wa dw nae pia alijiteka

Tusiwe wapofu,msichezee kutekwa ,mtu unarudi ukiwa na hali nzuri haya tupeni mrejesho mpo kimya!

poleni kwa mliojipoteza na kutuchezea akili.

Msema kweli daima!

Ni kweli kabisa, hili suala la Roma...nilijuwa tu kuwa atakuwa ni yeye mwenyewe kasuk huo mpangi ili apate kiki. Ila kwa kuwa kamuhusisha na Ruge, basi najuwa Ruge na kamati yake ya Clous media itakuwa inahusika kwa asilimia kubwa, tena sana maana Ruge wasanii wengi sana wanamlalamikia kwa ujasusi aufanyao chini chini.
 
Kamuulize huyo bashite wako kama ndio kakutuma hapa. Yeye alijuaje Wakina Roma watapatikana kabla ya Jumapili? Kwa kweli zero ni nyingi. Tafuta wenye akili fupi kama ya kwako then tell them "Roma na wenzake walivyojiteka wenyewe"
 
Mimi ni mwendaki mzuri wa swimming pool ukwel ni kuwa yule dada alivokuwa kalala anaelea ndivyo naonaga watu wakifundishwa inawezekana kweli kuna kamchezo kalichezwa ili kutuma ujumbe kuwa tuko vyema ktk tasnia ya uokoaji, ila kwa jinc tunavyokwenda kupitia drama kama za akina Roma na Zitto ipo siku wahalifu watatumia mianya hii kufanya ujinga wao then wapuuzi waendelee kuiandama Serikali
 
Aksante kwa maoni yako,kazi kubwa akili ndefuu!
 
Kwani serikali haipo?? Na kama ipo kwanini haichukui hatua kwa hao wanaojiteka na kujificha??
 
Watanzania husubiri kuambiwa kila kitu na hukiamini hivyo hivyo bila kudigest kwenye ubongo... Na akili za watu sku hizi zimebaki kujadili pande zinazohasimiana bila kujua kuna ' nyufa' za watu binafsi, ..lazima tujue kutofautisha maslahi ya nchi/wananchi, maslahi binafsi na maslahi ya vitu... Hapa ndipo tutaacha ushabiki na kuweza kutegua hizi brain drain fake images, .. Ila tutachukua mda mrefu katika kizazi hiki kupambanua ukweli vs maigizo
 
Kwani serikali haipo?? Na kama ipo kwanini haichukui hatua kwa hao wanaojiteka na kujificha??
Ukiona serikali haiangaiki ujue nao wana taarifa kuwa wasanii wapo location wanakamilisha filamu,
 
Watanzania husubiri kuambiwa kila kitu na hukiamini hivyo hivyo bila kudigest kwenye ubongo... Na akili za watu sku hizi zimebaki kujadili pande zinazohasimiana bila kujua kuna ' nyufa' za watu binafsi, ..lazima tujue kutofautisha maslahi ya nchi/wananchi, maslahi binafsi na maslahi ya vitu... Hapa ndipo tutaacha ushabiki na kuweza kutegua hizi brain drain fake images, .. Ila tutachukua mda mrefu katika kizazi hiki kupambanua ukweli vs maigizo
Tena tunajinasibu kwa usomi!
 
Mimi ni mwendaki mzuri wa swimming pool ukwel ni kuwa yule dada alivokuwa kalala anaelea ndivyo naonaga watu wakifundishwa inawezekana kweli kuna kamchezo kalichezwa ili kutuma ujumbe kuwa tuko vyema ktk tasnia ya uokoaji, ila kwa jinc tunavyokwenda kupitia drama kama za akina Roma na Zitto ipo siku wahalifu watatumia mianya hii kufanya ujinga wao then wapuuzi waendelee kuiandama Serikali
Vyombo vya habari ni wahanga wakubwa kwa habari za udaku na kuacha habari za maendeleo!
 
Ni kweli kabisa, hili suala la Roma...nilijuwa tu kuwa atakuwa ni yeye mwenyewe kasuk huo mpangi ili apate kiki. Ila kwa kuwa kamuhusisha na Ruge, basi najuwa Ruge na kamati yake ya Clous media itakuwa inahusika kwa asilimia kubwa, tena sana maana Ruge wasanii wengi sana wanamlalamikia kwa ujasusi aufanyao chini chini.[/QUOTE
Lazima tujue anamfaidisha nani!
 
Back
Top Bottom