Asante kwa taarifa,kuna changamoto ya utaratibu wao ambayo upo umewapata kipaumbele wenyewe mitaji mikubwa na ya kati kwa maana wafanyabishara wakubwa na wa kati,Je katika hili unaona nafsi hiyo ya kibiashara imekuja kumsaidia mfanyabiashara mdogo anayeelekea kuwa wa kati?
Ilikuwa great experience nikiwa kijana mdogo kabisa tulipanga mstari wa mbele kabisa huku tukiwa tumechuchuma nikimuona kwa karibu kabisa akiwa na mwenyewe wake mzee ali hassan mwinyi akipita na mwenyewe wake na msafari wa maskofu na watumishi wengine,ilikuwa siku ya kipekee kabisa
Hong kong episode directed by asia argento na alikuwa mpenzi.roho ya mtu ni msitu mzito sana alikuwa ni mtu mwenyewe furaha nyingi sana ni mtu mwenye furaha na maisha yake,nini kilimsibu hadi akatoa uhai wake.
Kwanini matukio na visa vya aina hiyo vipo sana kwa wapemba tena hasahasa wanawake wa kipemba...au ndio sehemu ya tamaduni zao kubambikia waume zao watoto?
Watashindana lakini hawatoshinda...ni swala la mda tuu,
Wamemuandamana mh mahiga halafu ni muendelezo wa matukio yanayofanana wametoka kwa mkewe wameenda kuedit picha yake.
Uongozi wa magufuli hauto ingiliwa na mkapa wala kikwete but na maaluki ambao bado wapo ndani na mfumo mmoja wapo ni emanual nchimbi watayumbisha sana serekali ya magufuli kwa kutoa maelezo na viashiri vya uongo.ushauri wangu kwa rais magufuli ni kufocus kwa kile anachokiamini na kutenda kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.