Recent content by WPM

  1. WPM

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Anyone aliyeangalia Kingdom latest one? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. WPM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Sometimes loniless inapunguzwa na kuchat
  3. WPM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Rejea title tajwa natafuta rafiki wa kike mwenye umri chini ya miaka 25. Sifa Mahususi. 1. Awe mwenye kujielewa na kupenda kusoma, kusali na mwenye hofu ya Mungu sawa na mimi nilivo. 2. Awe tiyali kupata attention ya kutosha kutoka kwangu (Namanisha awe mpend kutoa taarifa na kuwasiliana mara...
  4. WPM

    JamiiForums Tanzania "Amber Ruty" anaweza kuigiza filamu za ngono

    Hiyo video naomba kuzipata pm asanteni kwa ushirikiano wenu
  5. WPM

    JamiiForums Tanzania MSAADA.

    Ninaomba kufahamishwa jinsi ya kuroot simu aina ya Tecno C9 maana kwa njia ninazozifahamu na zile ambazo nimewai ona thread zake hapa nimeshindwa kuzitumia hadi nifanikiwe katika hili. Natanguliza shukrani.
  6. WPM

    JamiiForums Tanzania Nani malkia wa nguvu JF

    Lemutuz
  7. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Real madrid naogopa kumpa hata double chance aisee [emoji35][emoji35]
  8. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimetoka hivo
  9. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Droo ya double chance ina tofauti gani na drow ya kwenye normal bet msaada please.!!
  10. WPM

    JamiiForums Tanzania Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

    Uzuri wa haloteli ulinganishe na line zinazofanya kazi chini ya 3g na sio 4g. Kwa walio dar halotel kafeli sana
  11. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii option kwa premier inapatika kwa neno gani?
  12. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii imekosewa
  13. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Je hapo
  14. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee hapo vipi?
  15. WPM

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana niliishia hapo Bet won
Back
Top Bottom