Recent content by Woruu

  1. Woruu

    Natafuta mwanasheria aliye Moshi Mjini

    Hakuna Wakili asiyejua Kazi yake, iko hivi swala la gharama linategemeana na Kazi husika, ukitaka kusaidiwa zaidi nanda LHRC hapo utapa msaada na utasaidiwa.
  2. Woruu

    Nina wazo la kipekee sana litakaloanza hivi karibuni ila nina hofu kubwa sana

    Idea alone are not protected by law unless there is an expression of words. Find advocate he can assist u bt make sure u pay consultation fee and other fee for registration process.
  3. Woruu

    Wakati mwingine kujinyonga sio dhambi

    Nimarufuku kukata tamaaa / komaa gangamaa Hamisha hisia tembea/ sali kwa kila hatua Mungu atakusaidia/ wasamaria pia watakusaidia Mungu tu ndo wakumtegemea/ Dunia inakuangalia Uwezo uelewa unao onyenia/ kujiamini kutakuonyesha njia Huna haja ya kujichukia/ Amini unachoamini malengo yatatimia...
  4. Woruu

    Ukweli mchungu: Ndoa za sasa zinaishi kimwili wakati kiroho zilishakufa

    Nawapa pole sana, msingi imara wa ndoa ni sala, upendo, uvumilivu, ukweli, kujali, subira, amani, kusameheana, kutatua changamoto kwa pamoja, Kusaidiana, kukubali mapungufu kwa kila mmoja, utii kwa pande zote mbili, wazazi na ndugu pia, uwajibikaji wa kutekeleza majukumu. (me,ke) uwaminifu...
  5. Woruu

    TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Nenda google downloard proton VPN APK jisajili then upate huduma full, insta, youtube, Twitter in five mins.
  6. Woruu

    Kwanini Wanawake wa Mbeya wana mashepu?

    Andaa madodoso wape vijana 10 kila kina mpe dodoso 20 kwa kila dodoso moja walipe 5000/ hii itakuwezesha kukamilisha utafiti wako kwa urahisi zaidii kila la kheri maneja makampuni:
  7. Woruu

    Wanawake semeni ukweli

    Mi naomba nikupe upendo maswala ya pesa tuwaachie Bank, vikoba, Sacoss na mawakala wa mpesa, Upendo vitendo [emoji817] mis power:
  8. Woruu

    Simuelewi mke wangu

    Mkuu tafuta muda utokee na waifu mwende sehemu tulivu wawili mzungumze ikiwezekana iwe ni mbali na hom utajua tatizo nini hasa na atakueleza kwa undani, changamoto zinazotokea kwenye ndoa zitatueni wenyewe mkiziacha zinaleta madhara makubwa sana Mkuu kwa watoto na wanakosa upendo kwa pande zote...
  9. Woruu

    Mabinti jifunzeni siri hii nanyi mtafanikiwa sana

    Ndoa haina cha digrii ukiingia kwenye hii taasisi digrii zako unazifungia kwa kabati kabisaa, mtoa mada anachozungumzia ni kujipenda kujilinda na kujiheshimu ili baadae usije kujutia, hali halisi kuna walioshuhudia mabint wanapata maumivu mwishowe wanaishia kuishi kwa majuto ningelijua...
  10. Woruu

    Bora kutumia akili ya kuzaliwa nayo kuliko Elimu ya makaratasi

    Shukru kwa elimu uliyonayo maana kunawanaotamani wawenayo ila walikosa fursa ya kupata hiyo elimu, Elimu uliyonayo inakusaidia katika maisha halisi ya mtaani uingie wapi utokee wapi kwenye nyanja mbalimbali hususan maofini/ kitaan/ jamii inayokuzunguka/ Familia/ inakujengea confidence ya...
  11. Woruu

    Taji Liundi avunja ukimya kuhusu COVID-19

    Bandiko halijazungumzia kuhusu mshahara bandiko linazungumzia kuhusu hali ya sasa, namna gan watu wanaathirika na hili Cod19, maswala ya mshahara hapa yanatoka wapi! unafurahi hali za watu kupata madhara we unazungumzia mshahara hapa, wenzako wako na masikitiko we unacheka! utu ndo jambo la...
  12. Woruu

    Natafuta rafiki wa kike

    Tukiwa meza wote chakula kina liwa na wote siyo useme kuleni alafu nibakizieni huo sio ustarabu wa mwafrika kabisa sogea mezani jumuika na wenzako ule financial services Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Woruu

    Wanaume tutubie dhambi za kuwadanganya wadada tutawaoa mwisho tunaishia kuwachezea

    Warembo wote 10 wanifate tu pm nikawafungulie madai walipwe fidia tu, maisha yaendee yuzazifu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Woruu

    Wanaume tutubie dhambi za kuwadanganya wadada tutawaoa mwisho tunaishia kuwachezea

    Kula ujana kuowana mwishoni watoto 4 wanatisha Sakayo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Woruu

    Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami

    Unatema nyong kwaajil ya mtu kuhonga, njia nzur n kuishi laif yako huu ndo usinich, wacha usinich na laif ya mutu, haikuhusu, kata kona ya pil afu lia kwanguvuuuuu wivuuu, usnich uisheee, Maisha ya mtu haikuhus ni yake. (right to privacy) Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom