Taji Liundi avunja ukimya kuhusu COVID-19

Mkuu hata uendelee miaka miwili as long kwamba nafanya kazi na naingiza mapato nakosaje mshahara?? sio kwamba natamani ugonjwa uendelee, HAPANA! Ila Dharau zao kwetu watumishi wa Umma zikome kabisa
Hivi unamjua Magu sawa sawa wewe? Hebu subiri June biashara zote zisimame akose kodi kama atawalipa, kama hawajawauliza niwalipe mbupuma yangu?
 
na mimi sijasema atakopesha wananchi.
Nimesema hata hilo suala la kukopesha watumishi halipo ni ndoto ya mchana.
Hivi unajua serikali ina watumishi wangapi?
Hebu ulizia idadi ya walimu na mapolisi tu wapo wangapi Tanzania nzima halaf ndio badae ufikirie habari ya kupewa milioni 40.
Ingekuwa nchi nzima mtumishi uko peke yako hapo sawa.
Kabla hujakurupuka kureply soma vizuri utajiaibisha "GREAT THINKER" wapi nimesema serikali itakopesha 40M kwa kila mwananchi kama imeshindwa kutoa 50M kwa kila kijiji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Afadhali watu wenye uthubutu, watusemee maana sisi wengine, kulia njaa hadharani ni aibu!.
P
Muungwana huchutama licha ya kutokuwa na nguo

Aibu haikwepi ukiwa huna hata kama ukichutama, shida mnaogopa kuitwa materialistic badala ya kubanana na pride mpaka unakufa

Njaa ni mbaya,, nawe ulishawahi kulia hapa
 
Hawa ndio waliongoza kutudharau Watumishi wa Umma kwamba tunaishije na mishahara kidoogo na madeni kibao? Iendelee kidogo tusheshimiane, shenzytpe!!
Unadhani Serikali itatoa wapi fedha za kuwalipa watumishi wa umma kama sekta binafsi zinakufa?! Usijione uko salama kuliko usalama wenyewe ndugu. Hili ni janga kwetu sote haijalishi upo sekta gani.
 
Ni wakati sasa kwa TRA Kuwaondolea kodi wafanyabiasha kwa angalau miezi 6
Instagram media - B_Bvyz2DLPI ( 354 X 640 ).jpg
 
Hawa ndio waliongoza kutudharau Watumishi wa Umma kwamba tunaishije na mishahara kidoogo na madeni kibao? Iendelee kidogo tusheshimiane, shenzytpe!!
Bandiko halijazungumzia kuhusu mshahara bandiko linazungumzia kuhusu hali ya sasa, namna gan watu wanaathirika na hili Cod19, maswala ya mshahara hapa yanatoka wapi! unafurahi hali za watu kupata madhara we unazungumzia mshahara hapa, wenzako wako na masikitiko we unacheka! utu ndo jambo la kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii corona mwaka huu tutaheshimiana asee. masikini na matajiri tutatoka ngoma droo.hakuna kupanda ndege wala kwenda wapi ni mguu kwa mguu mpaka tutakapo komea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenikumbusha neno,unajua hawa wakubwa wengi wao walikuwa wanatibiwa nje ya nchi hii,sasa huko kwenye hospitali zao hakuendeki, mwisho wa siku mtu anatakiwa akatibiwe amana,kwa upuuzi huo wa kutibiwa amana na vile walivyokuwa hawaziamini hospitali zetu na wahudumu wetu isije ikawa ndio maana wanakwenda mfululizo kwa Sir GOD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom