Hakuna laana yoyote ile, wacha mambo ya Kiswahili swahili.wakati mwingine ni laana
Ungempa nafasi Mwenyezi Mungu aseme mtazamo wake, naona unaweka maneno (mtazamo) wako.Kuna wakati mtu unapitia mambo magumu sana tena sana na unaona hauna kabisa muelekeo wa kimaisha kila unachofikiria unaona hakileti muitikio chanya suluhisho pekee unaona bora ukatishe uhai wako, Mwenyezi Mungu naye wakati mwingine anaangalia magumu anayoyapitia mja wake hivyo hawezi kukuhukumu kwa kitendo cha kujitoa uhai kwa kushindwa kuhimili misuko suko ya kimaisha.
Hivyo ile kauli ya kusema ukijitoa uhai moja kwa moja maisha yako yatakuwa ni ya motoni sio kweli.
Ha haaaaaaa umeanza kudai Deni lako kabisa umeona isiwe tabuMkuu wewe ndie uliniuzia CM kioo kimekufa juu ile HUAWEI GR5 nilipe haki yangu kwanza ndipo ufanye maamuz magumu
Mkuu namkumbusha dhuluma aliyowahi kunifanyia na ajue kabisa hakuna mungu anaependa utapeliHa haaaaaaa umeanza kudai Deni lako kabisa umeona isiwe tabu
Daah,natumai ataindea kazi hi message yako.Mkuu namkumbusha dhuluma aliyowahi kunifanyia na ajue kabisa hakuna mungu anaependa utapeli
Hata ulichokiongea kinawezakuleta laana piaHakuna laana yoyote ile, wacha mambo ya Kiswahili swahili.
Nyie ndio waganga wa Kienyeji mnaosababisha watu wanachomana visu kwa sababu ya imani za kijinga kama hizi.
Nimekwambia kama 'quran" sawa! ila kama 'biblia" nipe kifungu kinacho sema ukifa unaenda mbinguni au jehnnam kama hakipo' basi unasikiliza propaganda za wachungaji..Nnachojua Mimi Quran na Bible ni vitabu tukufu kwa maana kila kilichoandikwa mule lazima kitimie(especially Bible hasa agano jipya)
NI KHERI UAMINI MUNGU YUPO HATA KAMA HUMUONI KULIKO KUAMINI MUNGU HAYUPO SIKU UKIKUTANA NAE MIE SIPO
Dini upotosha watuKuna wakati mtu unapitia mambo magumu sana tena sana na unaona hauna kabisa muelekeo wa kimaisha kila unachofikiria unaona hakileti muitikio chanya suluhisho pekee unaona bora ukatishe uhai wako, Mwenyezi Mungu naye wakati mwingine anaangalia magumu anayoyapitia mja wake hivyo hawezi kukuhukumu kwa kitendo cha kujitoa uhai kwa kushindwa kuhimili misuko suko ya kimaisha.
Hivyo ile kauli ya kusema ukijitoa uhai moja kwa moja maisha yako yatakuwa ni ya motoni sio kweli.