Recent content by worms

  1. worms

    JamiiForums Tanzania Hivi Milioni 25 inatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa Dodoma na wilaya zake?

    Duh ya kimataifa hiyo nyumba
  2. worms

    JamiiForums Tanzania Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

    Du nondo hii
  3. worms

    JamiiForums Tanzania Rasilimali za Tanzania na mchango wake katika katika uchumi wa taifa

    Lakini bado nchi yetu ni maskini wa kutupwa
  4. worms

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

    Ni vitu vingi vya ajabu tunafanya waafrika na serikali zetu wakati tuna raslimali za kutosha kutoka misiti, bahari ,mbuga za wanyama, mito ,fikiria tu china kipindi like magufuli alishika meli yao. Kupitia bahari tu kuna billions of money. Why tuna rasilimali za kutosha lakini hatuwezi kutumia...
  5. worms

    JamiiForums Tanzania Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

    😂😂😂
  6. worms

    JamiiForums Tanzania Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

    Kwani Reli y TAZARA si ni diesel siku zote? ni maboresho tu yanafanyika na si kuifanya iwe ya diesel! Kwa hiyo treni hizo zilikuwa zinatumia nini?
  7. worms

    JamiiForums Tanzania In which area has the powerful government of Tanzania, under the very ability and love of President Samia, done very well so far in development?

    Pia suala la bei za mafuta diesel, petrol na mafuta ya taa ni kizungumkuti
  8. worms

    JamiiForums Tanzania Msaada: Toyota Premio kuishiwa nguvu inapopanda mlima

    Angalia pia uchomaji wa mafuta kama upo sawa, check ignition coil na spark plugs
  9. worms

    JamiiForums Tanzania Milioni 70 inatosha kufungua Pharmacy ya jumla jijini Dodoma?

    😂😂😂
  10. worms

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kizazi hiki wanafaulu sana. Je, ni bora kuliko nyie?

    BRN - big results now.. Wanafaulishwa makusudi ili ionekane mpango wa BRN umefanikiwa kumbe ni viwango vya ufaulu vimeshushwa.
  11. worms

    JamiiForums Tanzania Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

    Hiki kiwango unakichukuliaje? Mil. 25 ?
  12. worms

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania yadai uhaba wa Injini umesababisha Ndege kukaa muda mrefu Karakana Malaysia

    Hamna usahihi wa kununua mindege kibao huku tunaendelea kupata hasara kama taifa, Ila bado serikali inaagiza ndege.
Back
Top Bottom