Recent content by womanhood

  1. womanhood

    JamiiForums Tanzania Watanzania msaada wenu, nasumbuliwa na kifua

    Saga vitunguu maji kwa maji ya uvuguvugu, kunywa glass moja, asbh ,mchana na jioni, waweza changanya na tangawizi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. womanhood

    JamiiForums Tanzania Siyo maajabu, Sanitizer ya bacteria vs Virus Sanitizer

    Tumieni spirit Kama sehemu uliopo hakuna maji ya kunawa, yan spirit inaua virus+ bacteria Sent using Jamii Forums mobile app
  3. womanhood

    JamiiForums Tanzania Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Mi naomba kuuliza hv huu ugonjwa hakuna watu wanaugua tu uko majumbani Hadi wanapona au kupona Hadi hospital? Yani mtu anaumwa baadae ugonjwa unaondoka wenyewe? Maana nilisoma mahali kuwa Kuna nchi Hadi ukishindwa kupumua ndo unawapigia wanakufata, Sent using Jamii Forums mobile app
  4. womanhood

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusimame zamu yetu kumwomba Mungu watoto warudi shule haya si mapenzi ya Mungu

    Ama kweli tuko tofauti mi navyoogopa hii Corona, sitaki hata wanangu warudi shule sahz, natamani wakae hata Hadi mwez wa 7, ndo waende shule wasome Hadi December, maana sahz hatar Ni kubwa zaidi watoto wamesambaa nch nzima, halafu warudi Tena kurundikwa kwenye mabweni huko shule, hatari Ni kubwa...
  5. womanhood

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kiwango cha damu kinachohitajika kwa Mama Mjamzito

    Chukua matembele, yapashe Moto kidogo then bled, halafu anywe , nusu Lita asubuhi, nusu nyingine jioni, anaweza weka chumvi kidogo ili kuleta ladha, fanya hivi kwa wiki moja tu, then rudi hapa kunishukuru. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. womanhood

    JamiiForums Tanzania Hili Jicho limepotelea wapi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbavu zangu eti" ukijaribu tu nakuchuna ngozi" Tupo wamama wa hivyo, mi wanangu wanaelewa vzr nikimkata jicho anajiongeza mwenyewe maana anajua what next[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. womanhood

    JamiiForums Tanzania Kupata hedhi baada ya kujifungua

    Ni kweli kabisa, mi mwenyewe Ni muhanga wa hilo swala sikuwahi pata siku zangu, ila saa hizi nina mimba miez 6 na mtoto wa mwaka mmoja
  8. womanhood

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mifuko inayoitwa "Shangazi Kaja"

    Yanaitwa shangazi makelele
  9. womanhood

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa juu ya likizo ya bila mshahara kwa watumishi wa Serikali.

    Hii siku hz haipo, ukiondoka umekwenda jumla, we nenda kaongee tu vizur na afisa elimu na utumish ili upewe ruhusa.
  10. womanhood

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu hajaota meno

    Yataota tu, mwanangu alikaa na mapengo mwaka mzima
  11. womanhood

    JamiiForums Tanzania Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Mi nilihama mchana SAA 8 jua kaliiii[emoji2][emoji2][emoji2], nilipohamia nikakaa siku moja iliyofuata nikapata safari ya kikazi, usiku huo wakaja wenye Mali wakazoa kila kitu[emoji38][emoji38] Niliporudi, m/ kiti wa mtaa akaniambia, Mama wewe mwenyeji wa wapi? Watu huwa hawahami mchana...
  12. womanhood

    JamiiForums Tanzania Mimba wiki 10 kuharibika

    Umenichekesha kweli, wk 10 mapigo ya mtoto yanasikika vzr kwenye utra sound, eti miez mi5[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. womanhood

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wakurya kwa hili

    Kaa kimya huwafahamu wakurya, akishamlipia mwanamke mahari wale watoto wote Ni Mali yake, Sasa wewe let's ngenga unidai hao Ni wanangu mapanga yatakuhusu na Hawa Ni wale wakurya original wa tarime huko , labda hao wa kitunda ndo watakataa watoto
  14. womanhood

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    Sasa si utuwekee hiyo pdf tu download, we unaweka screen shot ya nn
  15. womanhood

    JamiiForums Tanzania Kama wataka kuishi kwa amani kwenye nyumba ya kupanga

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom