Kupata hedhi baada ya kujifungua

The Monk

Platinum Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
13,836
Points
2,000

The Monk

Platinum Member
Joined Oct 12, 2012
13,836 2,000
ni ipi hiyo? Haina madhara? Naskia ukiweka kijit ukitaka kutoa had wakupige X ray wakitafute kilipo? What are its side effects?
Hiyo wanawawekea kiwaya wanakiita kitanzi ndani. Kazi yake ni kuzuia mbegu zisiende kukutana na yai. Ukitaka mtoto kinatolewa.
Nilipendekeza hicho kwa mamsap kwakuwa hakina madhara sana ikija mambo ya hormone.

Hizo nyingine kama kijiti, vidonge n.k vikikukataa inawezaleta mabadiliko makubwa sana.

Wataalam wataelezea zaidi.
 
Madame S

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
15,138
Points
2,000

Madame S

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
15,138 2,000
Hiyo wanawawekea kiwaya wanakiita kitanzi ndani. Kazi yake ni kuzuia mbegu zisiende kukutana na yai. Ukitaka mtoto kinatolewa.
Nilipendekeza hicho kwa mamsap kwakuwa hakina madhara sana ikija mambo ya hormone.
Hizo nyingine kama kijiti, vidonge n.k vikikukataa inawezaleta mabadiliko makubwa sana.
Wataalam wataelezea zaidi.
huh? Anafanyiwa op? Ngoja niendelee kusubiria majibu mengine mkuu hata hivo umenitoa tongotongo barikiwa
 
Gyole

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Messages
5,266
Points
2,000

Gyole

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2013
5,266 2,000
Unaweza kupata mimba dada, kuna mmama alibeba mmba miez 3 baada ya kujifungua ( hakuwahi kuona hedhi) na alishituka baada ya mtoto kuanza kucheza tumboni, lakini pia wapo hadi waachishe mtoto ndo waone hedhi na mimba hawaoati
 
womanhood

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
607
Points
1,000

womanhood

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
607 1,000
Unaweza kupata mimba dada, kuna mmama alibeba mmba miez 3 baada ya kujifungua ( hakuwahi kuona hedhi) na alishituka baada ya mtoto kuanza kucheza tumboni, lakini pia wapo hadi waachishe mtoto ndo waone hedhi na mimba hawaoati
Ni kweli kabisa, mi mwenyewe Ni muhanga wa hilo swala sikuwahi pata siku zangu, ila saa hizi nina mimba miez 6 na mtoto wa mwaka mmoja
 
Masekomaza

Member
Joined
Nov 6, 2017
Messages
86
Points
150

Masekomaza

Member
Joined Nov 6, 2017
86 150
Mi ilikuwa hivyo hivyo nilinyonyesha mwaka na miezi 8 bila bleed nikiuliza watalam wananiambia siwezi pata mimba hadi nione siku zangu,lakini mtoto kufikisha miaka 2 nilipata wasiwasi kupima imo na mtoto alikuwa bado ananyonya.
 
pratty

New Member
Joined
Jul 29, 2019
Messages
4
Points
45

pratty

New Member
Joined Jul 29, 2019
4 45
Dada unaweza kupata mimba bila hata kuanza kuona siku zako baada ya kujifungua, hiyo lactating amenorrhea inaweza fika kikomo na yai likapevuka bila wewe kujua, mwishowe ukajikuta mimba ishaingia. tumia hata njia za uzazi wa mpango kama hauna mpango wa kuzaa harakaharaka Ms mol,
 
longola

Member
Joined
Oct 15, 2015
Messages
41
Points
125

longola

Member
Joined Oct 15, 2015
41 125
Wasalaaam.

Ni miezi 9 sasa toka nijifungue mtoto wangu. Sasa sijawahi kubleed kabisa.. Na nimeishia Hoff inside nikapata mimba jamani maana naendelea kukutana na mwenzangu kwa tendo la ndoa kila Mara.

Je mimba haiwezi kujitungia ndani kwa ndani jamani..!! Asante
Unaweza pata mimba muda wowote kuanzia sasa. Be careful kama hutaki kupata ujauzito sasa ivi.. Kwa sababu yai linaweza kupevuka muda wowote limove to fallopian ambapo likikutana na mbegu ya kiume hapo hapo litarutubishwa na apo utapata ujauzito tena na endapo halitakutana na mbegu ya kiume litadissolve baada ya masaa 24 na apo ndo utapata hedhi yako..

Kila la heri mkuu kuongeza mtoto wa pili
 
Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Messages
1,861
Points
2,000

Ms mol

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2017
1,861 2,000
Unaweza pata mimba muda wowote kuanzia sasa. Be careful kama hutaki kupata ujauzito sasa ivi.. Kwa sababu yai linaweza kupevuka muda wowote limove to fallopian ambapo likikutana na mbegu ya kiume hapo hapo litarutubishwa na apo utapata ujauzito tena na endapo halitakutana na mbegu ya kiume litadissolve baada ya masaa 24 na apo ndo utapata hedhi yako..

Kila la heri mkuu kuongeza mtoto wa pili
Mkuu atakuwa wa 6.
 
kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
1,419
Points
2,000

kombaME

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
1,419 2,000
Kama unanyonyesha vizuri yaani kuanzia miezi sita, at least 8 times in 24 hrs, au inaweza chukua wastani wa 9.6 months, ila kama hunyonyeshi vizuri it takes about 5.3 months.

But point to note 'IN MEDICINE THERE'S NO ALWAYS' ni vema utumie njia ya uzazi wa mpango.
 
Forum statistics

Threads 1,364,657
Members 520,947
Posts 33,324,469
Top